Faidika na darsa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa


FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
62,388
Likes
31,412
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
62,388 31,412 280
General Knowledge.

Naam, kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Natumia fursa hii ya mtandao adhyim wa JF kuwapa fursa wanamtandao wote wapate fursa ya kuuliza kuhusu mada au jambo lolote ambalo unataka upatiwe majibu.

Si majibu yote yatatoka kwangu binafsi, bali nitajitahidi iwezekenavyo kukupatia majibu murwa na yanayolingana na swali lako na ambapo sina jibu itakuwa fursa kwa wengine kutoa majibu.

Hapa ni kwa ajili ya kuelimishana na kujuzana bila kikomo, iwe swali lolote liwalo.

Update 1:
Tafadhalini tuulize maswali kiheshima . Heshima ni kitu cha bure na hii JF yetu pendwa inasomwa na wengi, tujiheshimu.

Update 2:
Siku kadhaa zimepita toka tuanzishe uzi huu na nimesikitishwa na aina ya maswali yanayoulizwa kwenye huu uzi.

Tumetowa fursa ya kuulizana na kila niwezapo kujibu au kutafuta majibu muafaka kutokana na hayo maswali na fursa ya wachangiaji kujibu maswali yatakayojitokeza ya "general knowledge" lakini hadi hii leo ni maswali machache sana yenye faida kwa wengi yameulizwa. Maswali yaliyojaa ni amma ya kutaka kuanzisha ubishi "ligi" na amma yamelenga mtu binafsi, hususan amelengwa mleta mada. Ni masikitiko makubwa sana.

Nnawashauri wote waliouliza maswali yenye kulenga binafsi na wale waliouliza maswali yenye kubomoa badala ya kujenga wabadilike na waanze kuuliza maswali yenye kujenga, kuelimisha, kutujaza hekima na maarifa.

Nilipoweka aina ya elimu niliyoisomea nilidhani ntakumbana na kibano kikali kuhusu hilo na nijibu ili iwe faida kwa wengi lakini kwa bahati mbaya au nzuri hakuna hata mmoja aliyeuliza swali lolote kuhusu hilo.

Isitoshe, mna fursa ya kuuliza kuhusu chochote. Ndege, mimea, dunia, sayari, nyota, maajabu, maswali yasiyokuwa na majibu, viumbe kwa ujumla vinavyojulikana na visivyojulikana, maajabu ya duniani, elimu na vitu vingi kama hivyo na vinginevyo.

Nnauhakika wale walioleta maswali ya kiajabu ajabu ya ubishi wana mengi sana ya kuuliza yanayoweza kuwapa faida wengi na kuna wengi kati yao wana mengi wanayajuwa na wanaweza kuchangia kwenye majibu kwa faida ya wengi.

Ombi langu kwa wote ni tuboreshe aina ya maswali na majibu.

Karibuni.
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
62,388
Likes
31,412
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
62,388 31,412 280
Inaonekana mkuu ulikuwa shekh kabla ya kwenda upande wa pili au umesoma sana Qur'an, maana unaijua zaid Faiza
Mnaweza kuhamisha pm maongezi yenu msiharibu uzi kwa makusudi.
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
62,388
Likes
31,412
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
62,388 31,412 280
Ngoja nipate majibu!.1- jee muhammad anaijua Ilimu ghaibu!? Nani alimpa Utume muhammad!? Asante bibie!

Sent using Jamii Forums mobile app
Qur'an 7:

188. Sema: Siimilikii nafsi yangu manufaa wala madhara, ila apendavyo Mwenyezi Mungu. Na lau kuwa ninayajua ya ghaibu ninge jizidishia mema mengi, wala ovu lisinge nigusa. Mimi si chochote ila ni mwonyaji na mbashiri kwa watu wanao amini.188
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
62,388
Likes
31,412
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
62,388 31,412 280
Asante bibie! Kumbe maovu yamemkuta kwa sababu alikuwa hajui ilimu ya Mbinguni!

Sent using Jamii Forums mobile app
Qur'an 2:

255. Mwenyezi Mungu - hapana mungu ila Yeye Aliye hai, Msimamia mambo yote milele. Hashikwi na usingizi wala kulala. Ni vyake pekee vyote viliomo mbinguni na duniani. Ni nani huyo awezaye kuombea mbele yake bila ya idhini yake? Anayajua yaliyo mbele yao na yaliyo nyuma yao; wala wao hawajui chochote katika vilio katika ujuzi wake, ila kwa atakalo mwenyewe. Enzi yake imetanda mbinguni na duniani; na wala haemewi na kuvilinda hivyo. Na Yeye ndiye aliye juu, na ndiye Mkuu.
255
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
62,388
Likes
31,412
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
62,388 31,412 280
Msemaji wa maneno hayo nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Alif Lam Mim. 1


2. Hiki ni Kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake; ni uwongofu kwa wachamungu, 2


3. Ambao huyaamini ya ghaibu na hushika Sala, na hutoa katika tuliyo wapa.3


4. Na ambao wanayaamini yaliyo teremshwa kwako, na yaliyo teremshwa kabla yako; na Akhera wana yakini nayo. 4


5. Hao wapo juu ya uwongofu utokao kwa Mola wao Mlezi, na hao ndio walio fanikiwa. 5


6. Hakika wale walio kufuru ni sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye, hawaamini. 6


7. Mwenyezi Mungu amepiga muhuri juu ya nyoyo zao na juu ya masikio yao, na juu ya macho yao pana kifuniko. Basi watapata adhabu kubwa. 7


8. Na katika watu, wako wasemao: Tumemwamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho, wala wao si wenye kuamini. 8


9. Wanatafuta kumdanganya Mwenyezi Mungu na wale walio amini, lakini hawadanganyi ila nafsi zao; nao hawatambui. 9


10. Nyoyoni mwao mna maradhi, na Mwenyezi Mungu amewazidishia maradhi. Basi watakuwa na adhabu chungu kwa sababu ya kusema kwao uwongo. 10
 
Azarel

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Messages
12,667
Likes
13,216
Points
280
Azarel

Azarel

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2016
12,667 13,216 280
Naona hujasoma post niliyokuwekea namba, 2675, lipo hilo jibu.

Aliye kujibu haelewi Uislam kwa kuwa si Muislam. Kama umeridhishwa na jibu lake ni hiyari yako, upo huru.
Nye nye nye nyenyeeee......!

Jibu swali uliloulizwa acha mbwembwe nyingi za Amina ndala ndefu wa magomen mapipa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Azarel

Azarel

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Messages
12,667
Likes
13,216
Points
280
Azarel

Azarel

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2016
12,667 13,216 280
Hahahaha.....! Miaka mitatu?
Nakunukuu , umesema umefanya research ila iwe kweli au si kweli huoni tatizo, hapa tayari kuna wasiwasi katika majibu yako
1. Hujasema katika research yako umepata majibu gani
2. Kusema huoni tatizo ina maana hujui kama ni kweli au si kweli na hata kama ni kweli basi huoni tatizo,,,

Kuna mahala pia umesema kuna mtu alioa mtoto wa miaka 3,, kwa nukuu hizi naomba nijibu swali langu ulilo quote kwa hii reply

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
62,388
Likes
31,412
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
62,388 31,412 280
Msemaji wa hayo maneno nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Qur'an 36:

KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0


1. Ya-Sin (Y.S.). 1


2. Kwa Haki ya Qur'ani yenye hikima! 2


3. Hakika wewe ni miongoni mwa walio tumwa, 3


4. Juu ya Njia Iliyo Nyooka. 4


5. Uteremsho wa Mwenye nguvu, Mwenye kurehemu. 5


6. Ili uwaonye watu ambao baba zao hawakuonywa , basi wao wamekuwa wenye kughafilika.6


7. Bila ya shaka kauli imekwisha thibiti juu ya wengi katika wao, kwa hivyo hawaamini.7


8. Tumeweka makongwa shingoni mwao, yakawafika videvuni. Kwa hivyo vichwa vyao viko juu tu. 8


9. Tumeweka kizuizi mbele yao, na kizuizi nyuma yao, na tumewafunika macho yao; kwa hivyo hawaoni. 9


10. Ni sawa sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye, hawataamini. 10


11. Hakika wewe unamwonya mwenye kufuata ukumbusho, na akamcha Arrahman, Mwingi wa Rehema, kwa ghaibu. Basi mbashirie huyo msamaha na ujira mwema. 11
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
62,388
Likes
31,412
Points
280
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
62,388 31,412 280
Nye nye nye nyenyeeee......!

Jibu swali uliloulizwa acha mbwembwe nyingi za Amina ndala ndefu wa magomen mapipa

Sent using Jamii Forums mobile app
h
Sikushangai nyie ndiyo wale tuliokumbushwa kwenye Qur'an 36:

9. Tumeweka kizuizi mbele yao, na kizuizi nyuma yao, na tumewafunika macho yao; kwa hivyo hawaoni. 9


10. Ni sawa sawa kwao ukiwaonya au usiwaonye, hawataamini. 10
 

Forum statistics

Threads 1,262,329
Members 485,560
Posts 30,120,686