Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Umekubali kuwa ile ya kwanza ulidanganya.

Na hii aya uliyoweka ni nzuri sana na inaku desribe wewe to the dot na kukengeuka kwako.

Soma vizuri nnakuwekea "context" ili usiendelee kukengeuka na kupotosha watu:

Qur'an 4:
4_89.gif

89. Wanapenda lau kuwa nanyi mnge kufuru kama walivyo kufuru wao, ili muwe sawa sawa. Basi msiwafanye marafiki miongoni mwao mpaka wahame kwa ajili ya Dini ya Mwenyezi Mungu. Na wakikengeuka basi wakamateni na wauweni popote mnapo wapata. Wala msimfanye rafiki katika wao wala msaidizi 89

4_90.gif

90. Isipokuwa wale walio fungamana na watu ambao mna ahadi baina yenu na wao, au wanakujieni na vifua vyao vina dhiki kupigana nanyi, au kupigana na watu wao. Na lau angeli penda Mwenyezi Mungu angeli wasaliti juu yenu wakapigana nanyi. Basi wakijitenga nanyi, wasipigane nanyi, na wakakuleteeni amani, basi Mwenyezi Mungu hakukupeni njia kupigana nao 90

4_91.gif

91. Mtawakuta wengine wanataka wapate salama kwenu na salama kwa watu wao. Kila wakirudishwa kwenye fitna hudidimizwa humo. Ikiwa hawajitengi nanyi, na wakakuleteeni salama, na wakazuia mikono yao, basi wakamateni na wauweni popote mnapo wakuta. Na juu ya hao ndio tumekupeni hoja zilizo wazi 91

4_92.gif

92. Na haiwi Muumini kumuuwa Muumini ila kwa kukosea. Na mwenye kumuuwa Muumini kwa kukosea basi amkomboe mtumwa aliye Muumini, na atoe diya kuwapa jamaa za maiti, isipo kuwa waache wenyewe kuwa ni sadaka. Na akiwa ni jamaa wa maadui zenu, hali yeye ni Muumini, basi ni kumkomboa mtumwa aliye Muumini. Na akiwa ni miongoni wa watu ambao pana ahadi baina yenu na wao basi wapewe diya watu wake na akombolewe mtumwa Muumini. Na asiye pata, basi afunge miezi miwili mfululizo, kuwa ni toba kwa Mwenyezi Mungu. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi na Mwenye hikima. 92

4_93.gif

93. Na mwenye kumuuwa Muumini kwa kukusudia, basi malipo yake ni Jahannamu humo atadumu, na Mwenyezi Mungu amemkasirikia, na amemlaani, na amemuandalia adhabu kubwa. 93

Unajaza beti wakti aya IKO wazi! Agizo la kuwauwa lipo au halipo?? Wee umesha ua wangapi? Au ndio unadhani kwa bla bla hii ndio utaiona pepo?? hhhhhhhhhh...
IMG_20190207_085158_432.jpeg
IMG_20190207_125516_992.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo sasa hivi hao maadui bado wapo? Kama bado wapo ni kina nani hao? Na je wewe pia unashiriki kuwatenga au kuwaua wakikengeukaa? (MI NAZUNGUMZIA HII AYA YA KURUHUSIWA KUUA WENZIO KWA KUTOFATA DINI YAKO 89)
 
Hiyo aya ni wakati wa vita.

Wewe kama upo vitani hautaua? Utazabwa la kushoto utageuza na la kulia?
Kwa hiyo sasa hivi hao maadui bado wapo? Kama bado wapo ni kina nani hao? Na je wewe pia unashiriki kuwatenga au kuwaua wakikengeukaa? (MI NAZUNGUMZIA HII AYA YA KURUHUSIWA KUUA WENZIO KWA KUTOFATA DINI YAKO 89)
 
Alimuingilia akiwa na miaka.9 nahitmisha kwa kusema kwamba tukubaliane kwamba muhammad alimuingilia aishah akiwa bado mtoto! Hivyo watoto WETU wa kike tuwachunge hasa tukiona Babu Muumini kiguu na njia nyumbani kwako huku una mtoto wa kike! Sababu wameelekezwa na allah muhammad ndiye Kigezo chao chema...View attachment 1015646

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikusaidie tafsiri:

Qur'an 33:
33_21.gif

21. Hakika nyinyi mnayo ruwaza njema kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu kwa anaye mtaraji Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho, na akamkumbuka Mwenyezi Mungu sana. 21
 
Muda wa kuanza kuperuzi kila page unatoka wapi usawa huu,, lakini nimeshajibiwa tayari,, sema kama swali la nyongeza, je akija sheikh au mtu mwenye cheo katika uislam akataka amuoe binti yako wa miaka 6 utamruhusu? (naomba nijiwe tafadhali)

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona hujasoma post niliyokuwekea namba, 2675, lipo hilo jibu.

Aliye kujibu haelewi Uislam kwa kuwa si Muislam. Kama umeridhishwa na jibu lake ni hiyari yako, upo huru.
 
Naona hujasoma post niliyokuwekea namba, 2675, lipo hilo jibu.

Aliye kujibu haelewi Uislam kwa kuwa si Muislam. Kama umeridhishwa na jibu lake ni hiyari yako, upo huru.
Nakunukuu , umesema umefanya research ila iwe kweli au si kweli huoni tatizo, hapa tayari kuna wasiwasi katika majibu yako
1. Hujasema katika research yako umepata majibu gani
2. Kusema huoni tatizo ina maana hujui kama ni kweli au si kweli na hata kama ni kweli basi huoni tatizo,,,

Kuna mahala pia umesema kuna mtu alioa mtoto wa miaka 3,, kwa nukuu hizi naomba nijibu swali langu ulilo quote kwa hii reply

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakunukuu , umesema umefanya research ila iwe kweli au si kweli huoni tatizo, hapana tayari kuna wasiwasi katika majibu yako
1. Hujasema katika research yako umepata majibu gani
2. Kusema huoni tatizo ina maana hujui kama ni kweli au si kweli na hata kama ni kweli basi huoni tatizo,,,

Kuna mahala pia umesema kuna mtu alioa mtoto wa miaka 3,, kwa nukuu hizi naomba nijibu swali langu ulilo quote kwa hii reply

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa si pahala pa kubishana, unauliza swali unapewa jibu, kama hukuridhika nalo ni haki yako na kama umeridhika nalo ni haki yako pia.

Kasome vizuri kuhusu "miaka 3" usini misquote tafadhali.
 
Mimi sijabishana ila nilikua naku challenge, kitendo cha kusema iwe kweli au si kweli lakini huoni shida tayari kimeleta doa katika jibu lako, means huna uhakika na jibu sahihi,,
Basi nibadili swali, katika research yako ulipata majibu gani?

Nimeandika kwenye hiyo post.

Mimi sijabishana ila nilikua naku challenge, kitendo cha kusema iwe kweli au si kweli lakini huoni shida tayari kimeleta doa katika jibu lako, means huna uhakika na jibu sahihi,,
Basi nibadili swali, katika research yako ulipata majibu gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikusaidie tafsiri:

Qur'an 33:
33_21.gif

21. Hakika nyinyi mnayo ruwaza njema kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu kwa anaye mtaraji Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho, na akamkumbuka Mwenyezi Mungu sana. 21
wewe muhammad ibn abd allah SIO Kigezo chako?? Chunga bibie ukiona zee la kisla kiguu na njia nyumbani, Anamuita mtoto wako wa kike au kiume shemeji, shemeji...huku linalembua macho kwa uchu...mchekee nyani uvune mabua!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aya ipi unaongelea? Mimi nime quote tu "context" na kuhimiza isomwe "context".

Unafahamu maana ya " context"?
Baada ya DHAMIRA kuwasuta kutokana na MAAGIZO MLIYO PEWA NA allah ya KUTUUA HAYATEKELEZEKI! UNAKUJA SASA KWENYE CONTENT NA EDITING! aya YEYOTE inayoshuka ina SABABU YA KUSHUKA, IMESHUKA WAPI NA MUHAMMAD KAIFUNDISHA VIPI! Ndio sababu ukiambiwa hii deen wenyewe warabu mnabisha na kuturushia mate....
IMG_20181224_211925_703.jpeg
IMG_20181207_071713_713.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naam, sasa kikwenu ndiyo maana yake "wauweni makafiri" kama ulivyozua huko juu?

Hata Magufuli Tanzania anaamrisha watu kulipa kodi na kupambana na wakwepa kodi kwa njia yoyote ile. Cha ajabu nini hapo?
Cha ajabu ni kulipa kodi ili unusurike uendelee na UKAFIRI! Hivyo unanunua pepo kwa Pesa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom