Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Dada FaizaFoxy tujuze taratibu za ku divorce mke aliye muislamu, nina ndugu kaowa muislamu, yeye mkristo, waliowana bomani, tafadhali, asante
 
Kazi nilizofanya kwa muda mrefu sana zilihusiana na telemetry systems na intrinsically safety systems (telecoms and non telecoms). Sasa hivi najihusisha sana na RFID integration kama mshauri (Consultant).
ingawa umeshanichanganya, ila unaonaje Tanzania ya viwanda chini ya magufuli kwa upande wa Telecom? unaona kama kuna dalili yoyote?
 
Of course mambo yote niliyokutajia yanahusika na yanahitajika viwanda vya aina zote kwa ufanisi wa hali ya juu. Na pia mengi yanahitajika katika "industries" zote, healthcare, hospitality, manufacturing, mining, oil and gas, farming. You name it, telecoms ina vast, very important never ending role to play. Must have.

Nimekuchanganya kwa lipi?

At least leo nimefurahi katokea mtu kuniuliza maswali ya field yangu.
 
umenichanganya maana mm hizo mambo za kitelecom siyajui sana, ila najua ni muhimu sana.

Unahisi CCM hii hii itaweza kutufikisha kwenye digitilized and electronized Tanzania?
 
Mbona tupo tayari, itufikishe vipi tena?

Imetufikisha kwenye digital world miaka mingi sana iliyopita tena kwa kasi kubwa sana kupita nchi nyingi sana duniani.

Ilipotangazwa tu kuwa hakuna ushuru kwenye "computers", hapo ndiyo siku tuliyofikishwa. Na tulipotandaziwa Tanzania nzima mtandao wa FO (mkonga) ndipo tulipofikishwa kileleni.

Sasa hivi ni ubunifu wetu tu.

Unaelewa kuwa Tanzania tuna mpaka super computer ambayo si wengi wanaitumia?

Nnauhakika mkonga wa FO tulionao hatuutumii hata asilimia 10 ya uwezo wake na super computer nadhani hatuitumii hata asilimia tano ya uwezo wake.

Sijui watufikishe wapi zaidi ya hapo?

Kilichobaki ni ubunifu wetu tu lakini ukweli ni kuwa serikali ya CCM Imetufikisha tena kwa ufanisi mkubwa kwenye digital world.
 
Jee ni kweli mkonga wa taifa umepunguza gharama za mawasiliano????Kwa upande wangu naona zimeongezeka kila kukicha makampuni yanazidi kubana MB

FaizaFoxy
 
Back
Top Bottom