Faida za ujambazi, utapeli na wizi wa reja reja

Rais2020

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
3,248
5,537
Katika jambo ambalo huwa sipendi kulionea huruma ni pamoja na mwizi, jambazi au na tapeli wa rejareja. Naona sasa matapeli na wezi wamehamia kwenye mitandao ya kijamii kama JF n.k, ila kumbuka siku ukitiwa mkononi mwa RAIA hizi ni faida zake (Picha)
c63fd3a8d78f5aa1d061191babfc3508.jpg
b3a234647cd6261bf067f764e58ec0f1.jpg
2c7497d0b6cb1054e779a93f8c377b2a.jpg
a62cfa25d03f34a7d9eee6819891aaff.jpg
eba89615d348c2a9d985f3a5aaf7d5e5.jpg
68d34cb875f84bccd13eddc01bb7cedd.jpg
5bde147b4f5cdab795dac894c25abdb2.jpg
944eec9a565998f495fe4a7de197791c.jpg
a528a477a1729fdbd35b33b7be5796ce.jpg
b7690cf147a5cd5e5013a79fcb3e3b84.jpg
3b5d0c29c9838855bc8d27762185fb88.jpg

Sahamani kama unaroho nyepesi na yenye huruma sana usifungue.
 
Washenzi sana kuna mama mmoja mwaka Jana kachukua hela bank 3m na dhamana aliweka nyumba yake, kaenda kununua mzigo wa vitenge na vitambaa kafungia dukani, jamaa wamekuja usiku uleule wamekomba vitu vyote
 
Faida za wizi na ujambazi ni moja tu kwamba ni rahisi sana mtu kutoka kimaisha, nina maanisha kufanikiwa. Hasara yake kufa kupo nje nje . Kazi zote ambazo zenye risk kubwa ni rahisi sana mhusika kufanikiwa kwa sababu zinakuingizia kipato kikubwa kwa muda mfupi. mfano wizi, ujambazi, kuuza madawa ya kulevya, pembe za faru, meno ya tembo , ukahaba n.k .Hizo ni kazi ambazo zina risk kubwa lakini ukifanisha umefanikiwa. Ila ukikamatwa umepotea kwenye ramani ya dunia hiyo ndiyo hasara yake. the high the risk ,the more the profit.
 
Washenzi sana kuna mama mmoja mwaka Jana kachukua hela bank 3m na dhamana aliweka nyumba yake, kaenda kununua mzigo wa vitenge na vitambaa kafungia dukani, jamaa wamekuja usiku uleule wamekomba vitu vyote
Inaumiza sana,wezi wanaudhi mnoo,usione watu wanaokota makopo na kutembea huku wanasema hovyo,kuna watu walichukua maamuz magumu ya kuwasulubu hawa wezi
 
Mkuu bnafsi huwa sina huruma na mwizi au jambazi. Kuna kamtu kamoja kalikuwa kanajiita kajambazi kalinivamia eti kananiamrisha nitoe kila kitu cha thamani kikichopo ndani kwangu hakika nilikapiga na bastola yake halafu kwa kutumia bastola yake nikakapiga risasi Tatu mkononi na mguu halafu nikaita polisi ili kasifie ndani kwangu. Sipendagi HAWA watu. Ukisikia wanapiga either mwizi au vijambazi uchwara pls nibeep kwa namba zangu huwa wananijua
 
Unyama unyamani tu, hawa jamaa siwapendi hata kidogo. Roho zao ni mbaya na zilizojaa kutu kabisa.
 
Back
Top Bottom