Faida za uchumi kumilikiwa na wageni (wawekezaji) ukifika uchaguzi wanakwenda likizo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Faida za uchumi kumilikiwa na wageni (wawekezaji) ukifika uchaguzi wanakwenda likizo

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ntemi Kazwile, Oct 8, 2010.

 1. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wadau hivi mmeshagundua kuwa bidhaa mbalimbali zimeanza kukosekana sokoni? Kuna biashara nyingi pia za wageni zimefungwa kwa muda na zile ambazo hazijafungwa zinafanya kazi chini ya kiwango chake na wengi wa wamiliki hawa hawapo nchini.... Mnakumbuka hapo nyuma shilingi ilipoteza thamani sana dhidi ya dollar? wengi walikuwa wanabadilisha madafu yao kupata dollar ili wakiondoka wasipate taabu.

  Hii ni sababu nyingine ya kuikataa CCM (Kikwete) kwa sababu wanaamini kuwa hatuwezi kuendelea bila misaada ya watu kutoka nje, hii siyo kweli na kwa kufanya hivyo wanatuweka sote njia panda pindi wageni hawa wakiamua kurudi kwao kwani nyumbani ni nyumbani
   
 2. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,847
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Hiyo tuwaachie wataalam wazalendo watuelishe kinachojiri bank kuu Je ununuaji wa dollar umeongezeka kwa kiwango cha kutisha au ni wa kawaida?.Naamini baada ya muda wakereketwe watashusha nondooos
   
Loading...