Faida za Punyeto

Abby The Rider

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
444
674
Haya ndugu Salama,
Mnasemaga punyeto sio nzuri kabisa Mara inaharibu nguv za kiume, na mengne mengi ya namna hiyo

Sasa msomeni doctor hapo mpate faida za punyeto


(Hii kwa wale wa free basics. )

Punyeto inaweza kumsaidia mtu kuondoa mkazo (stress), kuboresha hali (mood), kumsaidia mtu kupata usingizi, huongeza umakini (concentration) na ufanisi katika tendo la ndoa n.k! #ElimikaWikiendi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom