Naomba kujuzwa faida za mazoezi ya kuruka kamba

Nasikitika kila nikiongeza mazoezi, naongeza pia chakula, weight inazidi

Inategemea unakula nini, kula unrefined carbohydrates, matunda, mboga na lean proteins kwa wingi. Punguza au acha kabisa simple sugars, refined carbohdrates na vyakula vya mafuta. Hapa wengi wetu ndio panatushinda.
 
Naufufua huu uzi.
Waruka kamba njoeni hapa tupeane tips na faida ya huu mchezo
 
Naufufua huu uzi.
Waruka kamba njoeni hapa tupeane tips na faida ya huu mchezo
Nilikuwa naruka kamba miaka hiyo ya 2000,kwasasa magoti hayaruhusu tena.
Nilishauriwa nifanye mazoezi kwa kuogelea.
Kuna mazoezi gani mengine mazuri wakati wa maumivu ya magoti?
 
Nilikuwa naruka kamba miaka hiyo ya 2000,kwasasa magoti hayaruhusu tena.
Nilishauriwa nifanye mazoezi kwa kuogelea.
Kuna mazoezi gani mengine mazuri wakati wa maumivu ya magoti?
Pole sana legend, pendelea pia kutembea na jumping angalau nusu saa.
 
Zoezi la urukaji kamba ni zuri sana kwa wale wenzangu na mimi tulio bize na kutafuta maisha. Wengi wetu tu wavivu kuamka asubuhi sana na kwenda mazoezini hasa ya kukimbia, lakini ukiwa kila siku unaruka kamba kwa usahihi walau kwa dakika 30, jua umempita mtu aliyekimbia kwa zaidi ya saa moja.

Kamba ina faida nyingi sana hasa kwa vibonge na kwa wale wanaotaka kuwa na mwili mzuri uliojengeka.

Njoo turuke kamba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom