Faida za Majina ya Mungu yaliyotumika kuumba na kauli zenye nguvu na Maajabu yake ya hali ya juu

Kwa unafiki unaondelea humu mada nyingi nitaanza kuziremove kwa maana nafundisha wajinga asilimia kubwa wacha nianze na hii,

Rakims
Ni vizuri kusililiza members wanachosema maana toka useme utataja majina naona miez inaenda tu.Au we mwenyewe huna unataka utumiwe kaka??
 
Isiwe tabu mkuu, wacha tupate futari usiku wa leo nitaendelea by the way nasubiri nitumiwe na wewe au?

Kaka ukiona hivyo ujue watu wanahitaji huduma ndio maana maswali mengi.Kama tungekua hatuhitaji usingeona comment hata moja kama nyuzi nyingine.By the way futari imeisha ila naona bado kaka.
 
Uzima leo
nikijaliwa nitamaliza hili deni

Rakims
 
Tumepewa jina moja na Mwenyezi Mungu....ni YESU MNAZARETI. Kwa lugha ya kiyahudi anaitwa YESHUA.

Hayo mengine yote yaliyobaki wala hayana ulazima wowote
 
Kwako mkuu, kwa wengine yanatufaa sana, huna hata maana ya kupost hiyo quote yako kwa maana katika maelezo yote we umeona hivyo tu,

Rakims
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom