Faida za Majina ya Mungu yaliyotumika kuumba na kauli zenye nguvu na Maajabu yake ya hali ya juu

Dont forget that izo mada ukuandika ww umekop tu somewhere so uzidhan ukifut ndo dunia imeiasha labda kwa hayo wapumbavu unao wajua sio wote
 
Kwa unafiki unaondelea humu mada nyingi nitaanza kuziremove kwa maana nafundisha wajinga asilimia kubwa wacha nianze na hii,

Rakims
"KWA MAAANA NAFUNDISHA WAJINGA ASILIMIA KUBWA "

Hayo maneno yana nipa picha jinsi gani ulivyo you level of enlightenment and many things
 
Dont forget that izo mada ukuandika ww umekop tu somewhere so uzidhan ukifut ndo dunia imeiasha labda kwa hayo wapumbavu unao wajua sio wote
Mkuu, mbona una ligi sana na mimi umeanza kunifuata fuata p.m nimekukalia kimya ili upite kushoto bado tu halafu unaongea upumbavu siuelewi embu nenda jukwaa la chitchat linakufaa sana maana huko ndipo kuna watu wanaweza kupiga zogo muda mrefu, huku tunasoma kidogo na kujua sana, kila mtu anajukwaa lake sasa usilazimishe kwenye mboga kuweka sukari, utatukanwa, hivi una umri gani kwanza?

Rakims
 
KAtika watu 10 wanao kubeshimu humu na mm nimo, je ww huoni kuachia mada nying njiani huoni kama ni tatizo na usione watu kila siku wanachungulia lakinkupo vile vile ww unaona ni sawa
Find another thread to read and quote
 
Wengine wankuita mganga wa kienyeji ma shirik sijui nn dont you see hawo ndo wajinga mm sijakitukan awa kuku dharau my only point ni mada iendelele kama kuna limitation unasema ili wote tujue aina muendelezo
 
Kuna nyakati kichaa akitizama watu wamevaa yeye yupo uchi huwa anawaona wajinga wamebeba mizigo, pia kuna nyakati kuna watu wazima na akili timamu wanaongea vitu halafu hawajui ni kitu gani wanaongea wakikumbushwa wanasema nani? mimi? Nini? Wapi? Aje?
Kama hili jukwaa linakufaa wewe na wao pia basi utajua nazungumzia nini na utafanya nini, lakini kama haliwafai ngoja tuwasome tena

Poa
 
Ndio lengo lake hana jipya
Humu wapo wengi wameshanifuata PM lakini majibu ni hapana haya hayafundishwi kwa watu wasio na dini wala huruma na pia wasiojulikana kama wewe kama kuna mtu kanifuata P.M nikamwambia haya majina nauza uliza akija hakuna atakae tokea kwa maana member wote walionifuata p.m nawaambia hii sio biashara ni elimu kama elimu zingine, wacheni kujudge msioyajua

Tupe elimu hiyo sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom