Mangole Valles Michael
JF-Expert Member
- May 30, 2021
- 333
- 671
Habari za leo Wana jamvi, natumai ninyi wazima.
Kumekua na ongezeko la Facebook page zinazo toa maudhuhi ya Habari hasa habari za michezo,siasa, matukio na burudani.
Mimi binafsi mpaka Sasa sjabahatika kufahamu faida inayo patikana kutokana na page hizi mpaka kuvutia watu kushawishika kwa wingi kufungua page za Aina hizo.
Hivyo nimeona ni jambo jema kuja kwenu kuuliza Kama Kuna mtu anajua faida ya page hizi atujuze tafadhari tusije kua tunakosa fursa.
Nini faida ya kua na page inayo toa maudhuhi ya Habari, kitu gani ambacho wamiliki wa page hizo hunufaika kutokana na page hizo?