Kweli KabisaInapendeza sana ukioa ukiwa kijana....!
Acha kudanganya wenzioNasikia wanaowahi kuoa wote ni domo zege aisee huwa wanawahi kuoa ili wasipigwe na ukame kwa sababu kutongoza hawajui.
Kama una uhakika wa kupata maziwa unafuga ng'ombe wa nini???
mfano unaenda hospital na mtoto unakutana na mwanaume wa umri kati ya 45-55 ana mtoto wa miaka 2-5, huwa inanishangaza sana...Kweli Kabisa
alafu unakuata anafurahi sana na kasema anawandalia watoto future sasa hadi mtoto aje afikie 18 Mali yote ishaliwa na watu wa pembeni yeye akiwa hayupo..!! zaa mtoto mapema hata siku ukitembea na mtoto wako watu wanajiuliza huyu mdogo wako....hahhaamfano unaenda hospital na mtoto unakutana na mwanaume wa umri kati ya 45-55 ana mtoto wa miaka 2-5, huwa inanishangaza sana...