Faida za kula nyama ya kuku

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
2,351
2,000
Nyama nyeupe ni ipi?

hii ni nyama ambayo ikichinjwa inakua na rangi nyeupe kabla ya kupikwa mfano halisi ni nyama ya kuku, bata, mbuni, ndege wote na samaki aina zote.

nyama nyekundu ni ipi?

hii ni nyama ambayo ikichinjwa inakua na rangi nyekundu kabla ya kupikwa, mfano ni nyama za wanyama wote kama nguruwe, mbuzi, ng'ombe, na kadhalika.

kumekua na mijadala na maswali mengi kutaka kujua faida hasa za nyama hii nyeupe ukilinganisha na ile nyekundu naleo ntazitaja faida hizo kwa kifupi..

upatikanaji wa virutubisho muhimu vya siku kwani nyama nyeupe ina mafuta kidogo, vitamin, protini na nguvu kwa ajili ya shughuli za kila siku.

nyama hizi zina amino acid nyingi ambayo ni muhimu kwa ujenzi wa seli za binadamu na ukuaji wa nywele kwa ujumla.

nyama hizi zina mafuta kidogo sana ambayo sio hatari kwa afya ya moyo na mfumo mzima wa mwili wa binadamu.

nyama samaki ina kemikali inayoitwa omega 3 ambayo haitengenezwi na miili yetu lakini ni muhimu sana kwa kupunguza kiasi cha lehemu au cholestrol mwilini.

nyama ya kuku ina kiasi kikubwa cha selemium ambayo ina kazi ya kuzuia saratani mbalimbali kwenye miiili yetu.

nyama nyeupe ni nzuri sana kama ikitumika kama sehemu ya diet kwa ajili ya kupunguza uzito kwani ni laini na mwili unaimeng'enya kirahisi sana.

samaki ina vimelea ambavyo ni muhimu sana kwa ajli ya kuzuia tatizo la kusahau sana uzeeni ambalo tafiti zimeonyesha kwamba nyama nyekundu huchangia kwa tatizo hili,

kiasi cha phosphorus kipatikanacho kwenye samaki ni muhimu sana kwa ajili ya kusaidia macho yaendelee kuona vizuri.

nyama nyeupe inaweka kiwango cha sukari mwilini katika hali nzuri sana na inaweza kuwafaa sana wagonjwa wa kisukari.

nyama hii haikai sana tumboni ukilinganisha na ile ya mayai hivyo huweza kuzuia tatizo la saratani ya utumbo ambalo ni kubwa sana kwa watumiaji wa nyama nyekundu.
_85.jpg
 
KikulachoChako

JF-Expert Member
Jul 21, 2013
16,424
2,000
Asante kwa muongozo mkuu...ubarikiwe Sana....

MADA kama hizi zenye elimu huwa hazipati wachangiaji wengi....

Mtoa mada angesema namna nyama kuku na samaki anavyoongeza nguvu za kiume.....muda huu Uzi ungekuwa haukamatiki....
 
Dalmine

JF-Expert Member
Sep 8, 2016
5,803
2,000
Nyama nyeupe ni ipi?

hii ni nyama ambayo ikichinjwa inakua na rangi nyeupe kabla ya kupikwa mfano halisi ni nyama ya kuku, bata, mbuni, ndege wote na samaki aina zote.

nyama nyekundu ni ipi?

hii ni nyama ambayo ikichinjwa inakua na rangi nyekundu kabla ya kupikwa, mfano ni nyama za wanyama wote kama nguruwe, mbuzi, ng'ombe, na kadhalika.

kumekua na mijadala na maswali mengi kutaka kujua faida hasa za nyama hii nyeupe ukilinganisha na ile nyekundu naleo ntazitaja faida hizo kwa kifupi..

upatikanaji wa virutubisho muhimu vya siku kwani nyama nyeupe ina mafuta kidogo, vitamin, protini na nguvu kwa ajili ya shughuli za kila siku.

nyama hizi zina amino acid nyingi ambayo ni muhimu kwa ujenzi wa seli za binadamu na ukuaji wa nywele kwa ujumla.

nyama hizi zina mafuta kidogo sana ambayo sio hatari kwa afya ya moyo na mfumo mzima wa mwili wa binadamu.

nyama samaki ina kemikali inayoitwa omega 3 ambayo haitengenezwi na miili yetu lakini ni muhimu sana kwa kupunguza kiasi cha lehemu au cholestrol mwilini.

nyama ya kuku ina kiasi kikubwa cha selemium ambayo ina kazi ya kuzuia saratani mbalimbali kwenye miiili yetu.

nyama nyeupe ni nzuri sana kama ikitumika kama sehemu ya diet kwa ajili ya kupunguza uzito kwani ni laini na mwili unaimeng'enya kirahisi sana.

samaki ina vimelea ambavyo ni muhimu sana kwa ajli ya kuzuia tatizo la kusahau sana uzeeni ambalo tafiti zimeonyesha kwamba nyama nyekundu huchangia kwa tatizo hili,

kiasi cha phosphorus kipatikanacho kwenye samaki ni muhimu sana kwa ajili ya kusaidia macho yaendelee kuona vizuri.

nyama nyeupe inaweka kiwango cha sukari mwilini katika hali nzuri sana na inaweza kuwafaa sana wagonjwa wa kisukari.

nyama hii haikai sana tumboni ukilinganisha na ile ya mayai hivyo huweza kuzuia tatizo la saratani ya utumbo ambalo ni kubwa sana kwa watumiaji wa nyama nyekundu. View attachment 2023100

Haya wale wa dar mnaotumia miguu ya kuku kazi kwenu

images (10).jpeg
 
Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
12,601

Mkuu kwani unadhani hizi faida sisi hatuzijui? Sema kipato ndiyo shida
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom