Faida za kublock

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,720
wote humu ni watumiaji wa mitandao ya kijamii,mawasiliano na n.k
kitu ambacho watu tunakiona kama kitendo kisichoweza kuelezeka kama kublock.

kublock kinaweza kukupunguzia majibishano,kujisikia vibaya endapo kuna jambo lina kuelekezea wewe kama maoni,status,watu wakufatiliao.

faida za kublock
*kukujengea heshima ya hatari la jambo lolote
*kukupungizia wanaotaka kukusema,kukuoneshea
*kupunguza maadui na wenye tabia za ajabu
*kujiondoa au kuepuka kwenye vishawishi
*kukupunguzia mawazo na mtu ambaye una ugonvi naye,wivu naye,rafiki na n.k
IMG_1801.jpg
 
JF ingewezesha mamburumundu tunayoyalamba block yasiwe hata yanaona mabandiko yetu walambaji, mithili ya Twitter ingekuwa mali sana.

Cc: Moderator
 
Back
Top Bottom