Faida za kiuchumi daraja la Mwalimu Nyerere

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,357
6,422
Naomba kujua faida za kiuchumi , particularly direct benefit za daraja la Kigamboni kwa mtu wa kawaida anayekaa. Naelewe at national level a lot will be realised from economic point of view and service provision to the whole community at large;BUT kwa mtu kapuku linamsaidia nini kukuza uchumi wake binafsi. mimi sio mchumi naomba kueleweshwa
 
Wewe dhana ya kwenda mahali kwa haraka na salama unafikiri haina positive impact ya uchumi kwa mmoja mmoja?
Ni sawa na barabar ya kawaida panapokosekana foleni watu wanafanya mambo yao kwa wakati
 
Mtu wa kawaida anaekaa hawezi kupata faida ya kiuchumi. Ila anaejishughulisha zipo nyingi.
Pedesterians hawalipi wanapita bure
Time consuming kwny foleni
Root mpya za daladala zita boost ajira
Ajira za usimamizi wa daraja
Biashara ndogondogo Maeneo ya karibu na daraja
 
Back
Top Bottom