Zijue faida za Kiafya za Kitunguu Swaumu (Garlic) Featured

Kuna chemikali inaitwa Bilirubin inapatkana kwenye

nyongo, kazi yake ni kupunguza harufu ya kinyesi huenda Una tatizo la kutokuwa nayo ya kutosha. Nenda Hospitali kawaone Madaktari wakupime .Au Tumia Dawa hii hapa chini fanya....
Ahsante sana
 
MziziMkavu kiukweli hata sibishani na wewe kwani huwa napata elimu kupitia maandishi yako sana. kwanza nimeuliza kitunguu swaumu hakina madhara kwenye uke?

Kisha nikatoa maelezo fulani ambayo yametokana na dada mmoja mhanga wa kuunga uke kwa asali ili uke ubane. sijui uzi umepotelea wapi. Hivi sasa yuko kwenye foleni ya kwenda kutolewa kizazi kisa tabia yake ya kupaka uke asali ili aongeze manjonjo.

Naomba unijibu na hili. Ni kweli kwamba vitu vya sukari vinaharibu meno? na kwa nini?
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu kiukweli hata sibishani na wewe kwani huwa napata elimu kupitia maandishi yako sana. kwanza nimeuliza kitunguu swaumu hakina madhara kwenye uke?....
Alijipaka labda Asali feki sio Asali Orignal . Asali Ukimpaka hata Maiti basi hawezi kuoza mwili wake hata akae miaka 100 bila ya kuwekwa kwenye chumba cha barafu basi huyo maiti hawezi kuoza kwa ajili.

Asali inamkinga na Wadudu wasiweze kumshambulia mwili wake huyo maiti itakuwa Asali mtu kujipaka sehemu zake za siri awe mwanamke au mwaname haina madhara labda Asali iwe imechakachuliwa hapo ninaweza kusema hiyo Asali itakuwa ni feki kwa sababu itakuwa imetiwa ndani yake sukari.

Mkuu Wallet Kama wewe huniamini fanya utafiti wako kisha uje unipe Feedback.
 
Mbona nimeandika Dawa nyingi tu za nguvu ya Kiume? Unataka Dawa ya nguvu ya Kiume wewe? haya chukuwa hii hapa Chukua Mdalasini pamoja na asali uchanganye kwa pamoja atie na maji ya Uvuguvugu , halafu kila chakula chako kisikose kipande cha tango.

Mkuu samahani,

naomba hapo uelezee vizuri.

maana mimi ni muhanga wa hili tatizo la kuwahi kufika.

sasa katika hiyo dawa ulitaja vitu vinne lakini umeelezea uwatu na tangawizi tu ,,, mdalasini na asali hujauelezea.

samahani mkuu kwa usumbufu naomba uelezee vizuri hapo
 
Mkuu samahani,
naomba hapo uelezee vizuri
maana mimi ni muhanga wa hili tatizo la kuwahi kufika
sasa katika hiyo dawa ulitaja vitu vinne lakini umeelezea uwatu na tangawizi tu ,,, mdalasini na asali hujauelezea
samahani mkuu kwa usumbufu naomba uelezee vizuri hapo
Tafuta pesa nikutibie Tatizo lako la kuwahi kufika kileleni ukitumia dawa zangu utakuwa unachelewa kufika kileleni ukiweza kunitafuta bonyeza hapa.Mawasiliano
 
Kuna vitu vidogodogo lakini sisi huwa hatujui faida zake mwilini, Kwa mfano kitunguu swaumu ambacho akina mama zetu nyumbani wamezoa kuweka katika pilau lakin kina faida kubwa sana mwilini. Wengi wamekuwa hawapendii hii harufu ya swaumu kutokana na kwamba ukila lazima mdomo wako unuke swaumu au pilau fulani iv sasa Ili kuepukana na harufu ya kitunguu swaumu baada ya kukila unashauriwa kunywa maji mengi uneutralize hii harufu

Kitunguu swaumu kimekusanya protin 49%,sulphur 25%, chumvi,inasaidia kuongeza nguvu za kiume,kuua sumu,vikojozavyo,wenye matatizo ya hedhi, kuyeyusha mafuta na viini vyenye kuua minyoo.Kila utafiti unapoendelea ndipo faida na maajabu ya kitunguu swaumu yanapoongezeka.

Haya ni maradhi yanayotibika kwa Kitunguu Swaumu

1.Kuua sumu

2.Kisafisha tumbo


3.Kiyeyusha mafuta(cholestro)

4.Huzuia kuvuja kwa damu

5.Kusafisha njia ya mkojo

6.Kutibu amoeba


7.Kuzuia kuhara damu(Dysentery)

8.Tumbo kushindwa kumeng'enya(Indigestion)

9.Gesi

10.Msokoto wa tumbo

11.Typhoid

12.Kidonda kilichooza

13.Dondakoo

14.Mabaka

15.Baridi yabisi(Rheumatisim)

16.Mishipa

17.Uziwi

18.Virusi vya homa ya mafua(Influenza)


19.Mafua

20.Saratani(Cancer)

21.Kifaduro

22.Kifua kikuu cha mapafu

23.Kipindupindu

24.Kutoa minyoo

25.Upele

26.Kuvunjavunja mawe katika figo

27.Mba kichwani

28.Kuupa nguvu ubongo

29.Kuupa nguvu fizi

30.Kuzuia meno kung'ooka

31.Nguvu za kiume

32.Maumivu ya kichwa

33.Kizunguzungu/kisunzi

34.Kutuliza maumivu ya meno

35.Kujenga misuli na kutia nguvu

36.Mkakamo wa ateri(Arteriosclerosis)

37.Shinikizo la damu

38.Kinga ya tauni na ukimwi

39.Magonjwa ya macho

Kitunguu swaumu inaweza kuchanganywa kwenye vitu kama maziwa, asali, habatsouda, juisi,

NB; Dawa za asili hufanya kazi taratibu hivyo huwezi kuona effect kesho asubuhi ukianza kutumia kuwa mpole matokeo utayaona Tu..

Wakubwa mnaweza kuongezea kwa nilicho kisahau hapa


© cc12
 
tupatie maelezo jinsi ya kutumia utakuwa umetusaidia wengi.

Mkuu ukitaka kutumia vizuri zaidi,kama una blender basi vimenye kadhaa kama viwili vizima (itakuwa na vipunje kama 14 hivi) halafu mix na tangawizi kisha tia kwenye maji vuguvugu kisha blend

Ukishamaliza weka kijiko cha asali na kuna dawa moja hivi ya kimasai kipunje pia ukiitupia hapo hakuna cha harufu HALAFU SASA kama siku hiyo una mechi na mkeo baada ya nusu saa ingia kwenye mechi utaniambia.

Faida yake ni kwamba its healthy na haina madhara kabisa.
 
mmhh magonjwa yote hayo? Inakinga hadi town na ukimwi? haya......, no 31 ni mpango mzima...! Matumizi je?
 
Mkuu ukitaka kutumia vizuri zaidi,kama una blender basi vimenye kadhaa kama viwili vizima (itakuwa na vipunje kama 14 hivi) halafu mix na tangawizi kisha tia kwenye maji vuguvugu kisha blend...
Asante mkuu kwa elimu jamiiforum I think yapaswa kuwa best educative and inspiring forum in tanzania and east and central Africa na hata Africa kwa ujumla maana vitu vinavyojadiliwa hapa vina tija sana kwa jamii
 
Mie natafuna tembe mbili za kitunguu swaumu na glass moja ya maji kila siku asubuhi kabla ya kula kitu chochote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom