GAMBLER
JF-Expert Member
- Nov 22, 2009
- 303
- 11
Kwa upande wetu sisi waafrika,watu wa mwambao ndio mara nyingi wamekuwa wakitunza bikra zao, na wamekua na huu utamaduni.Nchi za kiarabu zilizo katika bara la Afrika, Arabuni na nchi zote za kihindi.Mwanamke Bikra amekuwa akithaminiwa sana. Katika nchi hizo wako serious sana na issue ya mwanamke kuwa bikra, mpaka inafika wakati wa harusi, mwanamme akigundua mwanamke aliyeoa si bikra, anadai arudishiwe mahari yake na aibu kubwa inawafika upande wa mke.Wana jf, kwa kila anayejua faida au hasara za bikra, achangie hii mada ili tuelimishane...