Faida ya mafuta ya karafuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Faida ya mafuta ya karafuu

Discussion in 'JF Doctor' started by Mbushuu, Dec 24, 2011.

 1. Mbushuu

  Mbushuu JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2011
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 763
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 80
  Heri ya xmass na mwaka mpya wana ndugu,naombeni msaada wenu,ivi mafuta ya karafuu yana faida gani kwenye ngozi ukiyatumia kujipakaa?maana me nayapenda sana sasa nna mpango wa kuyanunua ili niwe najipaka,nipeni ushauri wenu
   
 2. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2011
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  Ukitaka ngozi yako iwe laini tumia mafuta ya UTO!!!!!
   
 3. Mbushuu

  Mbushuu JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2011
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 763
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 80
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,204
  Likes Received: 3,996
  Trophy Points: 280
  Faida Ya Mafuta karafuu ni dawa kwa ajili ya kuchua misuli, wakati mwingine inatumika kama kiungo kwenye chakula na chai lakini pia karafuu ambayo hajasagwa inaweza kutumika kama dawa ya tumbo, meno, uji pia

  inachangia kuleta harufu nzuri inapochangaywa kwenye chakula. Kwa hiyo nakushauri utumie Mafuta ya Karafuu kuchuwa mwili wako unapouma usitumie kwa njia ya kujipakaa kila siku. Ukitaka kutumia Mafuta kwa ajili ya

  kujipakaa tumia mafuta ya Zaituni au mafuta ya Uto au Mafuta ya nazi pia unapomaliza kuoga kila siku ni mazuri kiafya hayo mafuta na kwa ajili ya kulainisha ngozi yako iwe nyororo.
   
 5. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,263
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Yanapatikana wapi mafuta ya Karafuu? Mimi nayahitaji ila pharmacy nyingi hazina
   
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,204
  Likes Received: 3,996
  Trophy Points: 280
  Nenda Kariakoo kwa Wapemba wauza Madawa ya Kiarabu kawaulize Watu huko Kariakoo yapo tele tu Madukani au sokoni Kariakoo Soko Kuu.
   
Loading...