matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,570
- 15,319
Mtu ambaye akilala haoiti kabisa utafiti unaonyesha huwa anauwezo mdogo IQ tofauti na mtu anayeota usiku.
Lkn Faida ya Kuota ndoto za ajabu usiku ni kuwa kama ulikuwa na stress, wasiwasi, na mambo hasi mengi kichwani ni mfumo wa Kiasili wa kuziondoa hizo kwa njia ya Ndoto.
Unapoota unakimbizwa na simba, unaanza kuhisi ndevu zake na udenda umeanza kukugusa kwenye shati na mbio hazizidi, ghafla unadumbukia kwenye shimo kubwa refu lisilo na mwisho huku simba huyo anakuja kwa juu.
Unaposhtuka '' unapata ahueni kubwa''. Huu ni mpango mkakati wa kukusaidia kuachana na mambo ya stress ambayo badala yake unayatoa kwa nia za ndoto.
Acha kwenda kwa waganga kwa sababu ya ndoto Mbaya. Mshukuru Mungu kwa kuota ndoto mbaya