Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,295
- 33,079
7 health benefits of raw organic cashews:
1. Cancer Prevention cashews can reduce your colon cancer risk. (Zinakinga Maradhi ya Saratani Haswa kwenye matumbo mapana)
2. Heart Health (Korosho zinasaidia Afya ya moyo kufanya kazi vizuri).
3. Hair and Skin Health (Korosho zinasaidia Kuzifanya nywele na ngozi ya mwili kuwa na Afya nzuri).
4. Bone Health (Korosho zinasaidia mifupa yako kuwa imara na afya nzuri)
5. Good for the Nerves (Korosho ni nzuri kula kwa ajili ya mishipa ya mwilini mwako).
6. Prevent Gallstones (Korosho zinakukinga usipatwe na mawe kwenye nyongo yako).
7. Weight Loss (Korosho ukila zinapunguza uzito mwilini)