Faida ya juice za matunda mchanganyiko kama tiba ya mwili wa binadamu

Ni somo zuri lakini kwa wasiojua kusoma wakiamua kutumia PICHA hizi wameumia, maana yake vitu vingine watakuwa hawajawahi hata kuviona. Hivi ulikosa picha za hivyo ulivyoviandika (picha kubwa inayoonekana vizuri)????? yaani vitu kama tangawizi, chungwa, karoti,papai, na mengineyo.

Ahahah umenifuraisha aiseh, sasa mtu ataingiaje humu kama hajui kusoma
 
Back
Top Bottom