Faida ya elimu bure chini ya CCM

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Hii ni TZ Nchi ya viwanda na uchumi wa viwanda

FB_IMG_1549894659399.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu una busara sana nimekuchek since morning kwenye Uzi wangu flani kati ya wote wewe ulitoa comment nzuri ambayo ushauri wako nimeufanyia kazi na kuna manufaa kwangu nikifanya ulivyonishauri
Upuuzi wa Ccm, badala ya kutatua tatizo utaona wanamtafuta aliyepiga hii picha eti anawaaibisha!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uzi wa kipuuzi. huu
Mungu akusamehe. Yaani wewe USSR kuomyesha namna wadogo zetu mashuleni tena sekondari wanavyoteseka kwa kukosa hata madawati ni upuuzi? Ama kweli wana macho lakini hawaoni. Wana masikio lakini hawasikii
 
Back
Top Bottom