Faida wanazopata AyoTV,Dizzim TV online,DAUDA TV na youtube channels za wasanii kama Diamond platnumz na wengine.

Millard Ayo angekua tajiri mkubwa sana na wala asingekua anafanya kazi kwa Kusaga
Bro kuendelea kufanya kazi kwa mtu ikiwa haibani Mambo yako ni suala la maamuzi tu ila amini uwezo wa kupata pesa hiyo inawezekana kabisa, maana ninae mdogo wangu ana YouTube channel yake last month kalipwa 23m and I used to saw his contents has a rubish but now he prove me wrong.
 
Mwana unalichonga ngenga tu hapa, unaleta za kibandidu hapa utaishia kuzogoleka hadi utambwela.

Fanya iwe mukide leta statis za channel yako na malipo, acha mboyoyo za kikuda, kama kuna jenerali kuna kuruta, kama kuna wanaopiga $ 2500 kwa 1 M views kuna wanaopiga $ 600 na hata $300..ni vyema kumuhakikishia anaeingia jeshibukuruta ashaupata kuliko kumpa ndoto za ujenerali

zima fegi, vua chupi, kaa pembeni.

Peace
Acha kujilazimisha kuongea lugha ya mtaa iliyokuwa inaongewa na mabraza wetu back 1990's!! Eti mboyoyo... what's the fvck are you talking?!

Halafu unaelekea huelewi! Hakuna aliysema kwamba watu hawapigi hizo pesa, au hata zaidi lakini ninachokuambia kiwango unachopiga hakipimwi kwa idadi ya views!

Na kama nilivyosema hapo awali kwamba, ingawaje kadri idadi ya views inavyoongezeka KUNA UWEZEKANO wa kuongeza mapato zaidi, lakini kinachopatikana hasa ni zaidi ya idadi ya views bali kuna factors kadhaa nyuma yake!! Kwa mfano, sidhani kama unafahamu kwamba skipped ads zinakuwa hazipo accounted! Na Kibongobongo wangapi wana-skip ads ili ku-minimize bundle!!

Narudia tena, HUJUI UNACHOKIONGEA kwa sababu hata shughuli zenyewe hujawahi kufanya zaidi ya kudai eti kuna watu kibao unawafahamu wanaofanya! Wtf!
 
Niiinbox na mimi mzee hii habari imenitisha
wabongo tuache woga... sio wote wenye pesa wanatembelea Range.... Ntaku inbox scheenshot mkuu..
acha wogaaaa mkuu.... Bila clouds kusingekuwa na Millard Ayo... resect na kazi kama kawa..
 
Na je tunaodownload tunamnufaishaje youtuber?
Kumbukumbuyatorati !!

Mahesabu uliyopigiwa juu yote hayo ni porojo tu! Sio kwamba huwezi kutengeneza 1B (TZS) kupitia Youtube, inawezekana sana lakini sio rahisi kiasi hicho!

Na wala mapato hayatokani na idadi ya views, kwa maana X Views = US$ Y, HELL NO, ingawaje pia ni kweli kadri unavyokuwa na Views wengi zaidi uwezekano wa kupiga zaidi unaongezeka!!

Aidha, YouTuber X wa Tanzania anaweza kuwa na Views 5M wakati YouTuber Y wa Japan akawa na Views 3 M na Viewers wa Japan wakawa wamengalia matangazo yale yale yaliyoangaliwa na Viewers wa Tanzania kwa urefu ule ule wa muda lakini at the end, usishangae YouTuber wa Japan akawa ameingiza mapata hata mara 3 ya YouTuber wa Tanzania!

Hapo juu inatokana na game of chance!

Kwamba, kama ni tangazo la iPhone X, basi kuna uwezekano wa kila 100 Views za Japan zikafanikisha ununuzi wa iPhone X hata 5 wakati zile Views 100 za Tanzania zikaishia kuangalia mapicha picha tu!

Kutokana na hapo juu, Advertizers wanaweka viwango tofauti vya thamani ya tangazo, na geographical position, ina-matter sana kwenye kufanya maamuzi!

Tuje kwenye swali la msingi! Unapata vipi mapato!

Njia ya kwanza ndo hiyo ya matangazo maarufu kama Google Adsense! Hapa kazi yako kubwa ni kuwa ni kutengeneza contents ambazo unaamini zitavutia watazamaji, and that's it!

Kwavile utakuwa na Adsense code, ina maana Viewer akifungua tu video yako, atakutana na tangazo... lile ambalo baadae unaambiwa SKIP!!

Utakachopata kutokana na tangazo husika itategemea Viewer aliendelea ku-entertain hilo tangazo kwa muda gani! Na itoshe tu kusema kwamba, kuna formula tofauti tofauti hutumika hapa!

Aidha, usishahau suala la kila region kuwa na thamani yake kwa tangazo lile lile!

Njia ya pili ya mapato ni local contracts! Ukishakuwa na YouTube Channel ambayo inatembelewa sana, basi una uwezekano mkubwa wa kupata matangazo ya ndani (sio Adsense)

Hapo juu ni kama unavyoona mfano wa wimbo wa Diamond wa Utanipenda ambao video yake inatanguliwa na tangazo la Dr. Mwaka!

Matangazo ya aina hiyo hapo juu ni maarufu sana kwa mtu kama Millard Ayo!!

ALL IN ALL, kazi ngumu ya YouTube Channel ni content! Suala la content ukilichukulia poa, utaishia kuwa mtu wa copy and paste!!

Ujinga wa copy and paste ni kwamba, idadi ya views lazima iwe ndogo kwa sababu video moja inakuwa iko posted kwa channels zaidi ya 10!

Isitoshe, kadri watu wanavyoona umuhimu wa Adsense, ndivyo wanavyozi kufanya protection kwenye videos zao!!

Ndo hapo unakuta umepakia video saa 2, lakini ukija saa 7, Google wameiondoa kwa sababu kuna mtu ka-report copyright violation!
 
Unajua vichwa vya wabongo wengi bado tupo analogy sasa ukiwaletea habari za mtu kupiga mpunga kiasi hicho huku kajifungia chumbani unazidi kumchanganya.
powa kaka... ituhamasishe tuinuke....
show za kitoto youtube watu wanapiga kufa
 
Na je tunaodownload tunamnufaishaje youtuber?
Kama unamaanisha ku-download contents, kama vile nyimbo, humfaidishi chochote! Hapo utakuwa umewafaidisha kampuni za simu na bundles zao!!

Mbali na matangazo, source nyingine ni kama una Youtub Premium Account, but for what I know, Tanzania hakuna premium account service labda kama imeanza miezi ya karibuni!
 
Acha kujilazimisha kuongea lugha ya mtaa iliyokuwa inaongewa na mabraza wetu back 1990's!! Eti mboyoyo... what's the fvck are you talking?!

Halafu unaelekea huelewi! Hakuna aliysema kwamba watu hawapigi hizo pesa, au hata zaidi lakini ninachokuambia kiwango unachopiga hakipimwi kwa idadi ya views!

Na kama nilivyosema hapo awali kwamba, ingawaje kadri idadi ya views inavyoongezeka KUNA UWEZEKANO wa kuongeza mapato zaidi, lakini kinachopatikana hasa ni zaidi ya idadi ya views bali kuna factors kadhaa nyuma yake!! Kwa mfano, sidhani kama unafahamu kwamba skipped ads zinakuwa hazipo accounted! Na Kibongobongo wangapi wana-skip ads ili ku-minimize bundle!!

Narudia tena, HUJUI UNACHOKIONGEA kwa sababu hata shughuli zenyewe hujawahi kufanya zaidi ya kudai eti kuna watu kibao unawafahamu wanaofanya! Wtf!
Kwasababu we ni mpuuzi nakupuuza kuanzia sasa😁😁
 
from youtube alone
millard Ayo anapiga kati ya $63.9K to $1M a year .....over 2billlll a yeee
Diamond kati ya $58.1 to $929.9K a year
Global TV $39.1K to $626K a year
wasafi tv $28.2K to $451.5K

Plus matangazo ranging from laki 5 to 200ml a year
matangazo madogodogo ya laki 1 per instagram post etc

Iko media ndogo moja anapata 5ml a month kwa matangazo madogomadogo

(Sorry to expose ila data ziko online) bado lengo ni kuhamasisha wengine wajue tusiandamane kudai ajira serikalini..
Kwa kutumia simu yako tu unaweza kuwa a milli a milli a milli a millionaire

I will delete soon nikilalamikiwa kuheshimu haki za owners
We niliongo
 
angalia inbox... acha utomaso boss
Wewe jamaa kama mwanga vile hebu tutokee hapa na mi "angalia inbox" usengeee. Kama huna point ya maana kumwaga hapa tembea huko kila saa umekomaa tu angalia inbox, angalia inbox wewe mchawi nini?
 
Hesabu zipi ulizopiga ambazo unasema ni kwa Tanzania?! Binafsi sijaziona zaidi ya kusema mtu akipata views 5M, basi anaweza kuingiza kama TZS 7M!

Ukimchulia Themagufulianz kwa mfano! Yeye anatumia data za Socialblabe!

Ukimchukulia mtu kama Millard Ayo wanakuambia makisio ya mapato ya kwake kwa mwaka ni kati ya Dola 64,000 hadi dola 1M!!

Sasa ni makisio gani ambayo yanaweza kutoa margin error kubwa kiasi hicho?!

Mchukulie YouTuber kama alivyo Dude Perfect! Mwaka jana ilitangazwa aliingiza about 20M (USD) lakini estimation za Socialblade zinaonesha yearly earnings ni kati 818K to 13M (USD)!

Ukimtoa PewDiePie, list ambayo ilitoa na Forbes karibu wote walikuwa above na estimation za Socialblade! Yaani pamoja na estimation zao kuweka gap kubwa mno, lakini bado uhalisia unakuwa nje ya hilo gap!!
Bora wewe umeongea point kuliko lile jinga sijui @magufulian kila saa limekomaa tu cheki inbox, cheki inbox utafikili linatambika vile wakati limekopi kwenye website.
 
wako madogo wa3 wana IT company... wanapiga 4bln a year... wameajiri vijana kama 20 .... kuna dogo wa jamaa yangu anazalisha napkins na other paper products... some blnz...you free kukaza shingo na kuona haiwezikani... ila ukiamua ujifunze how can u do that unaweza kuwa kwenye list ya watengeneza bln... kwa watz wengi unachokishindwa wewe mwingine yeyote hawezi... Yuko dogo anapiga billions za kufuga kuku hapo Dar mtaji alipewa na UN small business development..... I wish niwe na upeo wako ili brain ipumzike kuwaza
Uyu jamaa porojo nyingi sana debe tupu tu mi sioni point zako una ndoto za halinachi sana huna content.
 
Back
Top Bottom