Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 13,540
- 18,542
Ahsante kwa ufafanuzi.Gharama Zia YouTube kwa Tanzania endapo utakua unaripoti matukio ya kila siku kama mwandishi wa habari itakubidi ulipie milioni 2 hivi, uende ofisi za tcra utajaza fomu.
Endapo unatumia YouTube kutoa burudani kama msanii au kutumia YouTube kuelimisha Jamii, hakuna gharama