Kumbukumbuyatorati
Senior Member
- Jul 27, 2018
- 152
- 220
Wakuu ningepata uelewa wa haya mambo kuhusu hii teknolojia ya kupasha habari kwa kutumia hizi online TV,pamoja na hayo pia nahitaji kujua faida inayopatikana kutokana na huduma hizi pia faida wanayopata wasanii wanaomiliki youtube channels.
Naomba pia kujua gharama za chini kabisa za kuanzisha hizi online TV,hii itasaidia wengi wanaotamani kufanya hizi kazi lakini bado hawajaona mwanga wa kuanzia.
Naomba pia kujua gharama za chini kabisa za kuanzisha hizi online TV,hii itasaidia wengi wanaotamani kufanya hizi kazi lakini bado hawajaona mwanga wa kuanzia.