Faida wanazopata AyoTV,Dizzim TV online,DAUDA TV na youtube channels za wasanii kama Diamond platnumz na wengine.

Kumbukumbuyatorati

Senior Member
Jul 27, 2018
152
220
Wakuu ningepata uelewa wa haya mambo kuhusu hii teknolojia ya kupasha habari kwa kutumia hizi online TV,pamoja na hayo pia nahitaji kujua faida inayopatikana kutokana na huduma hizi pia faida wanayopata wasanii wanaomiliki youtube channels.

Naomba pia kujua gharama za chini kabisa za kuanzisha hizi online TV,hii itasaidia wengi wanaotamani kufanya hizi kazi lakini bado hawajaona mwanga wa kuanzia.
 
Ingia you tube, watakupa terms and condition kuna form utajaza, pia uende tcra ukasajili channel yako, malipo utajua kwenye form ya you tube huko, hebu fanya uende
 
Faida ipo hivi:

YouTube inamikikiwa na google ambao wana tawi lao la kupachika matangazo kwenye video za wanaoweka video YouTube, yani ni kama vile namwambia diamond aweke kipande cha tangazo language kwa sekunde tano kwenye video yake kwa malipo, ndivyo ilivyo YouTube, utaingia mkataba na google kwamba kwa kila watazamaji kadhaa watakulipa kiasi Fulani ili uwaruhusu waweke matangazo yao kwa sekunde chache kwenye video yako. Mara nyingi kibongo bongo mtu unakuta dola 600 ( takribani milioni 1.4 ), hivyo kwa watu kama kina Millard ayo unaweza kuweka video zake kama 100 hivi, hizi video zote za mwezi zinaweza kupata views milioni 5 hivi kwa hio hapa uhakika wa milion 7 upo.

Game la YouTube kwa watangazaji kama kina miladi limekua humu siku hizi, nakumbuka zamani miaka ya 2013 hadi 2016 Millard alishika kisawa sawa YouTube kwasababu hakukuwa na wapinzani wengi, enzi zile video zake nyingi zikikuwa ni views laki 3 na kuendelea, yani hata ikitokea shilole kufanya birth day ni Millard tu ndio alikuwa ana upload, Aisee kile kipindi bwana mdogo alizichapa sana pesa, kwa videos kama 100 mwezi mzima views zake zote zilikua zinaweza kufikia milion 50 zilizoweza kutema kama shillingi milioni 70 na hata zaidi, kuanzia mwaka 2017 simu Kali zilivyokwa bei chee watu wakaanza kufanya YouTube na kurekodi matukio kwa simu zao na ndio hadi Leo watu channel zao zonatrend YouTube kwa kutumia simu zao.

Kwa kweli kwa sasa hivi inabidi uwe mbunifu sana ili uweze kutoboa YouTube tofauti na hapo zamani ambapo vifaa ndio vilikuwa kitu muhimu.

Gharama Zia YouTube kwa Tanzania endapo utakua unaripoti matukio ya kila siku kama mwandishi wa habari itakubidi ulipie milioni 2 hivi, uende ofisi za tcra utajaza fomu.

Endapo unatumia YouTube kutoa burudani kama msanii au kutumia YouTube kuelimisha Jamii, hakuna gharama
 
from youtube alone
millard Ayo anapiga kati ya $63.9K to $1M a year .....over 2billlll a yeee
Diamond kati ya $58.1 to $929.9K a year
Global TV $39.1K to $626K a year
wasafi tv $28.2K to $451.5K

Plus matangazo ranging from laki 5 to 200ml a year
matangazo madogodogo ya laki 1 per instagram post etc

Iko media ndogo moja anapata 5ml a month kwa matangazo madogomadogo

(Sorry to expose ila data ziko online) bado lengo ni kuhamasisha wengine wajue tusiandamane kudai ajira serikalini..
Kwa kutumia simu yako tu unaweza kuwa a milli a milli a milli a millionaire

I will delete soon nikilalamikiwa kuheshimu haki za owners
 
Weks source....
Ingekua siri usingejua

Millard Ayo angekua tajiri mkubwa sana na wala asingekua anafanya kazi kwa Kusaga
from youtube alone
millard Ayo anapiga kati ya $63.9K to $1M a year .....over 2billlll a yeee
Diamond kati ya $58.1 to $929.9K a year
Global TV $39.1K to $626K a year
wasafi tv $28.2K to $451.5K

Plus matangazo ranging from laki 5 to 200ml a year
matangazo madogodogo ya laki 1 per instagram post etc

Iko media ndogo moja anapata 5ml a month kwa matangazo madogomadogo

(Sorry to expose ila data ziko online) bado lengo ni kuhamasisha wengine wajue tusiandamane kudai ajira serikalini..
Kwa kutumia simu yako tu unaweza kuwa a milli a milli a milli a millionaire

I will delete soon nikilalamikiwa kuheshimu haki za owners
 
Mkuu hivi $ 1M ni Tshs ngapi vile? Huyu huyu Millard Ayo apige mkwanja mrefu kama huo na still awe bado yupo kwa Kusaga akitemea nakujaza mate MIC za Clouds? Hebu acheni utani basi....
Faida ipo hivi:

YouTube inamikikiwa na google ambao wana tawi lao la kupachika matangazo kwenye video za wanaoweka video YouTube, yani ni kama vile namwambia diamond aweke kipande cha tangazo language kwa sekunde tano kwenye video yake kwa malipo, ndivyo ilivyo YouTube, utaingia mkataba na google kwamba kwa kila watazamaji kadhaa watakulipa kiasi Fulani ili uwaruhusu waweke matangazo yao kwa sekunde chache kwenye video yako. Mara nyingi kibongo bongo mtu unakuta dola 600 ( takribani milioni 1.4 ), hivyo kwa watu kama kina Millard ayo unaweza kuweka video zake kama 100 hivi, hizi video zote za mwezi zinaweza kupata views milioni 5 hivi kwa hio hapa uhakika wa milion 7 upo.

Game la YouTube kwa watangazaji kama kina miladi limekua humu siku hizi, nakumbuka zamani miaka ya 2013 hadi 2016 Millard alishika kisawa sawa YouTube kwasababu hakukuwa na wapinzani wengi, enzi zile video zake nyingi zikikuwa ni views laki 3 na kuendelea, yani hata ikitokea shilole kufanya birth day ni Millard tu ndio alikuwa ana upload, Aisee kile kipindi bwana mdogo alizichapa sana pesa, kwa videos kama 100 mwezi mzima views zake zote zilikua zinaweza kufikia milion 20 zilizoweza kutema kama shillingi milioni 30 hivi au hata zaidi, kuanzia mwaka 2017 simu Kali zilivyokwa bei chee watu wakaanza kufanya YouTube na kurekodi matukio kwa simu zao na ndio hadi Leo watu channel zao zonatrend YouTube kwa kutumia simu zao.

Kwa kweli kwa sasa hivi inabidi uwe mbunifu sana ili uweze kutoboa YouTube tofauti na hapo zamani ambapo vifaa ndio vilikuwa kitu muhimu.

Gharama Zia YouTube kwa Tanzania endapo utakua unaripoti matukio ya kila siku kama mwandishi wa habari itakubidi ulipie milioni 2 hivi, uende ofisi za tcra utajaza fomu.

Endapo unatumia YouTube kutoa burudani kama msanii au kutumia YouTube kuelimisha Jamii, hakuna gharama
 
Utengeze zaidi ya 1 billion halafu uendelee kuwa mtumwa wa ajira mbona kama haimake sense
from youtube alone
millard Ayo anapiga kati ya $63.9K to $1M a year .....over 2billlll a yeee
Diamond kati ya $58.1 to $929.9K a year
Global TV $39.1K to $626K a year
wasafi tv $28.2K to $451.5K

Plus matangazo ranging from laki 5 to 200ml a year
matangazo madogodogo ya laki 1 per instagram post etc

Iko media ndogo moja anapata 5ml a month kwa matangazo madogomadogo

(Sorry to expose ila data ziko online) bado lengo ni kuhamasisha wengine wajue tusiandamane kudai ajira serikalini..
Kwa kutumia simu yako tu unaweza kuwa a milli a milli a milli a millionaire

I will delete soon nikilalamikiwa kuheshimu haki za owners
 
Pesa ya mtu anayebet inaeleweka, ina uhalisia na inaonekana.
Vivyo hiyo kwa mfanya biashara. Yaani pesa lazima ikubadilishe tu.
Ila tukipewa hesabu za pesa zinazopigwa youtube ni kama hazina uhalisia hivi, haiwezekani mtu upige bilioni kwa mwaka then ubakie kwenye ajira.
Si umeshakuwa na jina! hata ukianzisha kitu chako watu watakufata tu.
 
Mmh unajua Millard ana camera zake na magari ka Hiace vile ya kutafuta Informations... Mshkaji kusema atakuwa na hela ya Kufungua radio yake hawezi ila kuendele kuwa Clouds kunampa nafasi ya kuzidi kujulikana hawezi acha clouds alafu abakie na video za you tube tu maana hukp youtube kwenyewe watu wanaenda kufatilia habari baada ya kuisikia clouds Millard akiisema na zingine hazitangazi..
 
Back
Top Bottom