Faida toka Migodini

Kitikiti

JF-Expert Member
Nov 4, 2015
353
249
Leo kwa mara ya kwanza, nimefika na kuona geti la GGM Geita. Ulinzi ni mkali sana. Kulikuwa na malori mengi ya mafuta yaliyoandikwa Premier???. Dereva wa tax akanidokeza eti ya naniiii.

Dereva aliendelea kunielezea kuhusu uchungu mkubwa sana alionao kuona wageni wanavyo tufanya tuwe masikini kwenye utajiri wetu.

Hata na mie naliumia sana. Yaani milima inachukuliwa hivihivi na kutajirisha kuleeee????. Hivi kweli tuna viongozi?

Tunakuomba Mkuu wa sasa utukomboe. Sijui kama kweli utaweza?.
MUNGU AKUTANGULIE kweli inauma sana.
 
Nanii ndio nani sasa??kaulizie vizuri huyo naniii ni nani na RAIA wa wapi ndio utuletee taarifa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom