Faida na madhara ya kuoga kwa maji ya moto

ana punguza hamu ambayo haikukamilishwa na partner alyekuwa naye usiku. Kama ni mkeo ongeza juhudi, hilo kopo la maji ya moto hutaliona tena
 
ana punguza hamu ambayo haikukamilishwa na partner alyekuwa naye usiku. Kama ni mkeo ongeza juhudi, hilo kopo la maji ya moto hutaliona tena

Kwa hiyo kama mkeo anatumia kila siku ni kwamba hatosheki? sidhani..naamini ni kwa ajili ya kujiswafi ndani..
 
Sure,nami nimeshuhudia ata my House girl is doing the same,,,kulikoni??
 
Former G-Friend wangu aliwahi kuniambia kuwa anatumia maji ya moto ku supress hamu ya mambo fulani. Hivyo kama haja do na anasikia hamu, anachukua maji ya mato na kumaliza haja. Ni staili fulani ya kujichua.
<br />
<br />
kidogo naanza kupata mwanga!
 
Mimi nimeona baadhi ya wanaume wanaenda na hivi vikopo vya maji ya moto,sasa sijui mnavitumiaje?
 
Akina mama wana joto la kutosha mwenye tatizo la baridi kali ni huyo huyo wa kwako only.
 
Me huwa siwaelewi hawa viumbe,unakuta jua ni kali na joto jingi lakn bado utamkuta anachemsha maji ya kuoga..tatizo huwa ni nin wakuu?
 
Back
Top Bottom