Faida na hasara zitakazo tokea baada ya kuanza rasmi kwa huduma za broadband | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Faida na hasara zitakazo tokea baada ya kuanza rasmi kwa huduma za broadband

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Babylon, Apr 23, 2009.

 1. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Jee nchi imejitayarisha vipi na huduma za fast internet (BROADBAND)hasa kwa wananchi na madili yao,utamaduni ,etc na hofia kutatakuja kuzuka mambo ambayo yatawashangaza wengi ndani ya jamii zetu ,jinsi mtandao huo utakavyokuja tumika na baadhi ya watu .
   
 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  mie nadhani kuna haja kuwa na sera mpya ya haya mambo..na iwe revisited kila mwaka!

  Technology is changing so fast..kuna haja kaka Taifa kumonitor information ktk mtandao!

  May be Watz wanende China kujifunza kwanza!
   
  Last edited: Apr 23, 2009
 3. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Mnaishi karne gani wakulu??
  kumonitor mawasiliano siyo jambo kuntu kwa nchi ya kidemokrasia. Kama tukijifunza China ina maana tupo tayari kufuata sera zao kuhusiana kuingiliwa kwa mawasiliano binafsi? Mnajua kuna kashfa kubwa sana Duniani sasa kuhusu CHINA inavyojipenyeza na kuspy mawasiliano nyeti ya nchi nyingi ulimwenguni.

  Dawa ni kuangalia mitaala yetu kama inamuandaa mtoto kuja kuwa ideal hapo ukubwani. Hii ya kutawala mawasiliano ni kuchochea na kuzalisha uhalifu mwingine maana watu ni watu always.
  Ebo!
   
Loading...