Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mwenye kazi na kipato kizuri

Ndo maana mnaitwa wadhaifu soma uelewe

Umeumbwa kutoka kwenye ubavu Wa mwanamume na mwanamume ameumbwa kutoka kwenye mavumbi

Soma ujumbe uuelewe ndo unitukane

Dawa yenu ni kusulibishwa tuuu hakuna cha ela Wa senti ni pu.mbu mpaka uhisi umebakiwa na uwazi

Hahahahaa,,,mkuu we ni hatare asee yaani nimecheka sana kwa hiyo sentensi yako ya mwisho jaribu kuwa mvumilivu
 
Hahahahaa,,,mkuu we ni hatare asee yaani nimecheka sana kwa hiyo sentensi yako ya mwisho jaribu kuwa mvumilivu

Dawa ndo iyo mkurya org.

Hawa wadudu hawana maana hata kidogo na usipowapaka utomvu Wa kutosha wanakuzarau

Ela ya kula na kuishi kama ipo hayo mengine ni majaliwa
 
Nina maelezo mengi na sababu nyingi za kusapoti huu uzi ila kulingana na mchoko nilionao nawaomba wanaume wezangu msijaribu kuoa wanawake wasomi eti kisa umesoma nae au atakuwa msaada kwako.

Nimeona kwa ndugu na marafiki wangu jinsi hawa binadamu wasivyo na kumbukumbu wanavyowapelekesha waume zao na kuwanyanyasa.

Atakuonyesha mapenzi ya wizi endapo unafanya kazi TRA ama Bandarini tofauti na hivyo usije sema @kambagasa sijawastua. Shauri yenu
Hilo liko wazi sana na halihusu waliooana tu,hilo ni suala la kiuchumi zaidi ambapo umiliki unajitokeza na kuchipua kama chanzo cha migogoro.Hii hutokea hata kwa mtu yeyote ambaye anakuwa tegemezi kwako kwa muda fulani.Mtu huyo huyo anapoanza kupata kipato chake cha uhakika huwa matatizo yanaanza kwa kuwa huna mamlaka ya kudhibiti mapato na matumizi yake,unaweza kumshauri tu lakini asikuelewe.Kwenye ndoa ni ngumu zaidi kwa kuwa suala la kipato cha wanandoa hakifanyiwi tathmini wala mpango imara wa matumizi au mgawanyo,sana sana ni makubaliano tu yanayoshikiliwa na neno ndoa.Ndio maana ndoa huja kuwa ndoano baadaye.;)
 
Mkuu hii pasua kichwa naunga 100% awa viumbe ni hatari sana mfano kitu nilichokiona Jana kwa mdada mmoja ndani sikuwahani ndo nilijua kuwa awa watu wanadhambi kubwa cjui mapenzi gani au ndo ungumu Wa maisha kwa hawa madada zetu asubuhi sambili nimeamka ndani nikaenda chumba changu cha kwanza nilikuta kibatari kinawaka ndani ya sufuria nikauliza nani kawasha huu moto ndan Mara ya kwanza kimya Mara yapili adi Tatu akajibu ni mm nikamuliza unamahana gani kufanya hiv nilichojibiwa ckuamin nakafikili masikin huyo mpenzi wake wakiume namuurumia sana atachunwa mpaka mwisho jaman tuangalie mabint wakupenda hawa jamaa niwashikina ajabu
 
sileti ubishi wa kiutu uzima, ila sisi wanaume ni kuwa ukiisha kuwa na mwanamke ndani ya
nyumba esp ukimzalisha basi unajifanya wewe ndio wewe, mwanamke hawezi toa hata ushauri tu
na akitoa ushauri unajifnya kama kuto ukubali kiaina.
Mkuu wakati naposti huu uzi nilitambua wapo watu tawagusa na wale ambao watapingana nami. Mimi nimejiridhisha kwa miaka 9 sasa nikiwa kwenye ndoa nimeshiriki harusi za marafiki zangu na majirani nyingi tu hivyo haya niliyoandika yanaukweli asilimia 90%.
Mkuu nakuambia kama una shemeji mwajiriwa harafu akuzidi kipato na anakuheshimu basi mshukru sana mungu hawa wezetu ni wepesi sana kusahau hata kama ulichangia kumfikisha hapo alipo. Nawapenda na kuwaheshimu wanawake wote lkn sharti tutoe mitazamo harisi kwa upande wao wa pili. Mimi nafanya biashara.........unakuta mwanamke dizaini niliyoitaja wanakuja dkn na mwanamke anaanza kuchagua vitu expensive mwanaume akilalamika kuwa bajeti haimuruhusu utaona anavyoongea kama vile hiyo familia si yake. Kwa kifupi ni muda sasa dada zetu watambue elimu si sababu ya kuota makucha pia kama kuna wanaume hawasikilizi ushauri wa wanawake basi wanapotoka.
 
haya mkuu mie sina c omment....ila hapo kuna pande mbili
zote zina tetea wanachokifahamu.
 
Niwakuogopa zaidi ya ukoma,kwanza pamoja na usomi wao ni wepesi mno kumpa penzi mfanyakazi mwenzake...tofauti na wanawake wasio wasomi...huwa niwaelewa na wanajiheshimu mno.
 
Wanaume wengi wataunga mkono hoja yako, lakini tatizo siyo usomi bali tabia ya mtu tangu kwenye familia yao, nina bibi mkubwa wangu mmoja anakaribia miaka 70 alisoma Marekani na akapata degree mbili akimzidi mume wake academicaly lakini mume alimtaka bimkubwa kuacha kazi na kuwa mama wa nyumbani na alimtii mume wake mpaka sasa ni mama wa nyumbani ila mwanaume alikuwa na uchumi mzuri sana.

Sasa ukifikiri kwa kina tatizo tulilonalo siyo swala la usomi bali ni malezi, mabinti wa sasa wengi wamelelewa mashuleni na wala hakuna unyago tena na ukitaka hao wanawake wa hewala bwana usishangae akipigwa dudu na hata muuza uzuri kwa ajili ya kusafishwa kucha bure. uamuzi ni wako heri uwe kama Paulo tu.
'Uwe kama Paulo tu" ha ha ha
 
Na kama huamini ninachokueleza peleleza mapolisi wote unaowajuwa wewe walivyo wakali lakini ndio tabaka linaloongoza kwa kutawaliwa na wake zao.

Hapana! Umeshatoa conclusion maana yake ulishafanya uchunguzi...tupe mifano please...usituambie tukafanye tena uchunguzi.
 
mwanamke akikuzidi elimu umri na mkwanja ni sheedah but sio wote wapo wachache wanaelewa nini wanafanya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom