Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mwenye kazi na kipato kizuri

na ukizidi kumuomba basi atatoa bila ushirikiano, yani kifo cha mende unajipinda ukimaliza utasikia haya ushamaliza, niache nilale sasa anaenda kujiswafi kisha usingizi, sasa shughuli ni alfajiri unataka morning glory, hapo utakoma ukipeleka mkono unarushwa ka uliyepigwa na shot ya umeme
 
Hapo bado hujaambiwa ana safari ya kizazi mkoani for two weeks..zen anaongozana na boss wake
we acha tu. yaani tunalizwa kweli, kumzuia huwezi coz safari ya kikazi, na bosi wake tena ndio hivyo, wanafikia hoteli au gesti moja, kweli usiku unakuwa mkubwa
 
Itabidi mpelekwe jando jinsi mnavyolalamika hata hao mahousewife watawaambia wamechoka kwa sababu hamuwaridhishi mwanamke akiridhishwa hata kama anafanya kazi atakuwa akiwa job anafikiria kuwahi kurudi home ili akutane na baba nanii maana anawashwa sasa nyie mjitathmini mko na shida hata mkioa wa mama wa nyumbani watawaambia wamechoka na msiwaguse
 
we acha tu. yaani tunalizwa kweli, kumzuia huwezi coz safari ya kikazi, na bosi wake tena ndio hivyo, wanafikia hoteli au gesti moja, kweli usiku unakuwa mkubwa
yani ni tafran mkuu..kuna jamaa wife ake yupo serikalini..wamepewa trip ya kwenda china kikazi kwa siku 9(wanawake wawili na wanaume wawili)..wamefanya kazi kwa siku 4 wakamaliza..jmaa anakwembia wife amemwambia wamepitia dubai kupumzika kumalizia siku zilizobaki...kaka wa wtu hana amani..usiku unakuwa mrefu sana
 
Du nimeogopa michango ya wadau ! kumbe ndio hali ilivyo nashukuru sana mie wangu form 4 mamabo poa ! Lakini kuna ukweli nikiwaangalia wadada hapa ofisini huwa napata shida ...hasa zama hizi ambazo kuchepuka ni mtindo wa kisasa!
 
Kuna ukweli hapo but ukipata mke understanding na uwe mpole ata morning glory utawai na kifo cha mende itakua haipo kama utaparticipate kwa mfano kumaandalia chakula cha jioni
 
Kwa sisi waislam mke kumkatalia mume tendo la ndoa bila ruhusa ya hospitali ni kosa kubwa mno, sijui ndugu zetu wakristo maandiko yanasemaje. Inawezekana mume amefika home hana hamu, lakini baada ya kutulia kidogo akahitaji ww mke usipompa utakuwa umefanya kosa kubwa mno
 
Mkuu ulichokiongea ni sahihi kabisa ndoa nyingi za type iyo zimejaa michepuko kwasasa, sometimes tatizo si wanawake ila shughuli zao za kila siku za kiofisi ni kama zako, so huwa wanachoka ukweli!!Ukitaka raha unayoitafuta usimzue kusoma mwache asome atoe ujinga kisha oa haikikisha mahitaji yote unayatimiza vizuri nyumbani ili aache kazi (ingawa uamuzi mgumu sana)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom