Eti jamaa mmoja anasema heri kuoa ambaye hajasoma maana hatamtesa, anadai kwamba wasomi wana majidai, majigambo na najidai kujua sana. Kwa upande wangu naona ukipata msomi na mwenye ufahamu mpana mtasaidiana katika mengi na hatakutegemea wewe tu kwa kila kitu, nimsaidieje huyu jamaa ili anielewe?
Ni kweli.Mimi nilioa dada mmoja M.Sc.holder,du alinisumbua sana.Matatizo ni hayo hayo na mengine mengi.Ilibidi nimwage manyanga.Sasa nimeoa Form IV leaver ambaye ni mama wa nyumbani.Niko very comfortable.