Faida na hasara mtumishi wa umma anapokopa benki kupitia mshahara wake

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,551
Ewe mtumishi wa umma !

Tumia mshahara wako ukope to the maximum huko NMB au CRDB . Hakikisha unaplan project nzuri itakayokuingizia pesa , otherwise makato ya mshahara kwa mrefu husumbua akili sanaaa .

Ukikopa ukafanya anasa , jua kwamba utateseka miaka 4 mpk 7 mbele. Wengi wameumia sana.

Uwe mwangalifu
 
Acha kutisha watumishi acha wakope mambo yabane wachangamshe akili ya kuongeza kipato unataka wasikope wageuke watumwa wa michango ya harusini na kanisani? au unataka wageuke maboss kwenye familia

Kopeni watumishi maana nwisho wa siku tunawaona uku mwenye mkopo na asiye na mkopo maisha Yale Yale tu uyu anakatwa bank uyu ana sifa za kuwa mwanakamati wa sherehe na kuhudhuria misiba makwao maana rejesho hana pesa yake anairejesha uko kwenye michango ya harusi nk
 
Sheria, kanuni na taratibu za utumishi wa umma zinakataza mtumishi kuwa na madeni yaliyokithiri. Kopa kwa kiasi.

Hata hivyo sishauri ukope benki. Wana riba kubwa na makato ya yasiyo maana. Ukikopa shilingi alfu moja, utarejesha wastani wa alfu moja na mia kadhaa.

Bora ukope SACCOS. Kila mtumishi wa umma ni mwanachama AU mwanachama-mtarajiwa wa Hazina SACCOS. Jiunge nayo au SACCOS iliyo ofisini uliko.

Na ukopapo, fanyia jambo lidumulo au lenye matokeo makubwa sasa.
 
Naomba kujua jinsi ya kujiunga na hazina Saccoss
 
Ewe mtumishi wa umma !

Tumia mshahara wako ukope to the maximum huko NMB au CRDB . Hakikisha unaplan project nzuri itakayokuingizia pesa , otherwise makato ya mshahara kwa mrefu husumbua akili sanaaa .

Ukikopa ukafanya anasa , jua kwamba utateseka miaka 4 mpk 7 mbele. Wengi wameumia sana.

Uwe mwangalifu
Hii kitu Mola anisaidie Tu, sitaki kurudia tena
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom