Msaada: Biashara ya Nyumba ya Wageni (Guest House) imekaaje?

Kamera zinapaswa kufungwa kwenye korridor na siyo kila chumba, kwani wateja ni binadamu wenye kuhitaji faragha zao ziheshimiwe na kutunzwa, na hukifanya hiyo jua biashara yako unaichimbia kaburi mwenyewe.
natumaini umenielewa
 
Mleta mada uaminifu kwanza unahitajika sana kwa pande zote mbili. Msimamizi ajue kuwa mwenye mali akipata hasara biashara itakufa na mwenye mali amlipe msamamizi mshahara anaostahili.

Changamoto kubwa ya guest house ni uhakika wa maji. Siku hizi vyumba vingi ni en-suite hapa matumizi ya maji yanaongezeka. Maji ya kufanyia usafi na kufulia shuka kila siku.
 
Ni ngumu sana kuzuia wizi kwenye biashara yoyote ile.
Nikipata muda nitakupa hints kidogo ambazo mimi nilizitumia
Wakuu naomba kuuliza hivi mmiliki wa guest house anapataje faida kwenye biashara yake? Je, huwa anampa msimamizi target ya hela kila siku au weekly? Kwasababu msimamizi anaweza kodisha vyumba 10 akasema pungufu.

Msaada wenu kwenye uelewa wa hili.
 
Wadau ambao wapo kwenye hii biashara wachoyo kinoma kwenye infos!

Wachangiaji wengi ni wateja zaidi wanaotumia uzoefu wao tu kuliko wamiliki..

GH inahitaji camera au uwe unashtukiza (usitabirike),niliwahi kuongea na kijana mhudumu mmoja wa mahali nilipokuwa nimefikia ambapo tajiri alikuwa mkoa tofauti.

Kitabu cha wageni kipo lakini ana rooms zake 2 or 3 hawaandiki daily na kaanzisha huduma ya kulipisha watu baki (majirani) kuoga hapo kwa malipo na anakunja yeye.

Nataka niweke pesa huku pia.
 
Wakuu naomba kuuliza hivi mmiliki wa guest house anapataje faida kwenye biashara yake? Je, huwa anampa msimamizi target ya hela kila siku au weekly? Kwasababu msimamizi anaweza kodisha vyumba 10 akasema pungufu.

Msaada wenu kwenye uelewa wa hili.
mbinu moja rahisi sana, unatengeneza vimfuko maalum hata vya bahasha kwa ajili ya kila funguo..kila kimfuko unakiandika namba ya chumba na halafu unatumbukiza funguo yake humo kisha unabana kwa stepler au gundi nzuri ya maji sehemu ya kufunga hicho kimfuko, ukipenda unagonga na muhuri wako maalum hapo...kesho yake unaenda kuchukua pesa ya vifuko vyote utakavyokuta vimechanwa kwa huyo msimamizi wa guest, meaning lazima kuna mteja alitumia hicho chumba.

Kama ww ni mmiliki na upo mbali na guest yako basi huna budi kuwa na mtu unayemwamin kwenda kukusanya hizo pesa zako

cha msingi ni kuwa na vimfuko vizuri ambavyo utajua kirahisi kama vilifunguliwa au hapana maana wajanja hawaishiwi mbinu ya kuiba
 
mbinu moja rahisi sana, unatengeneza vimfuko maalum hata vya bahasha kwa ajili ya kila funguo..kila kimfuko unakiandika namba ya chumba na halafu unatumbukiza funguo yake humo kisha unabana kwa stepler sehemu ya kufunga hicho kimfuko, ukipenda unagonga na muhuri wako maalum hapo...kesho yake unaenda kuchukua pesa ya vifuko vyote utakavyokuta vimechanwa kwa huyo msimamizi wa guest, meaning lazima kuna mteja alitumia hicho chumba.

Kama ww ni mmiliki na upo mbali na guest yako basi huna budi kuwa na mtu unayemwamin kwenda kukusanya hizo pesa zako

cha msingi ni kuwa na vimfuko vizuri ambavyo utajua kirahisi kama vilifunguliwa au hapana maana wajanja hawaishiwi mbinu ya kuiba
GH kama Ni zile za uswazi na Lodge zingine hii mbinu utapigwa tu.

Kuna mdau humu anadai Short time inalipa kuliko wa kulala hebu fikiria upya kuhusu hiyo hoja yako!

Wake/waume za watu,wanafunzi,wanaoishi na wazazi? Wanapumzika muda mchache mchana au hata asubuhi chumba kinakuwa wazi siku nzima.

Au mhudumu mwenyewe anakilipia halafu anapigisha short time chumba hicho hicho watu zaidi.

Utakuta pesa yako kwenye bahasha lakini chumba hicho kimeingiza zaidi/kimetumiwa na watu wawili or watatu tofauti hivyo matumizi ya maji etc yatakuwa bill kubwa monthly.
 
mbinu moja rahisi sana, unatengeneza vimfuko maalum hata vya bahasha kwa ajili ya kila funguo..kila kimfuko unakiandika namba ya chumba na halafu unatumbukiza funguo yake humo kisha unabana kwa stepler au gundi nzuri ya maji sehemu ya kufunga hicho kimfuko, ukipenda unagonga na muhuri wako maalum hapo...kesho yake unaenda kuchukua pesa ya vifuko vyote utakavyokuta vimechanwa kwa huyo msimamizi wa guest, meaning lazima kuna mteja alitumia hicho chumba.

Kama ww ni mmiliki na upo mbali na guest yako basi huna budi kuwa na mtu unayemwamin kwenda kukusanya hizo pesa zako

cha msingi ni kuwa na vimfuko vizuri ambavyo utajua kirahisi kama vilifunguliwa au hapana maana wajanja hawaishiwi mbinu ya kuiba
GH kama Ni zile za uswazi na Lodge zingine hii mbinu utapigwa tu.

Kuna mdau humu anadai Short time inalipa kuliko wa kulala hebu fikiria upya kuhusu hiyo hoja yako!

Wake/waume za watu,wanafunzi,wanaoishi na wazazi? Wanapumzika muda mchache mchana au hata asubuhi chumba kinakuwa wazi siku nzima.

Au mhudumu mwenyewe anakilipia halafu anapigisha short time chumba hicho hicho watu zaidi.

Utakuta pesa yako kwenye bahasha lakini chumba hicho kimeingiza zaidi/kimetumiwa na watu wawili or watatu tofauti hivyo matumizi ya maji etc yatakuwa bill kubwa monthly.
Hii mbinu ni kwa mwenye guest anaetaka apate malipo yake ya bei ya vyumba kama alivyopanga gharama za kulala..Kama anataka pesa za short time apate pia, hii mbinu haitahusika..

Hii mbinu utapigwa kama msimamizi wa guest atakuwa akikubaliana na wateja kwamba mteja alipe bei ya kulala ya chumba mfano 30k halafu asepe kidogo arudi mida ikishaenda baadae kulala kwa ajili ya kutoa fursa ya kupiga pesa za short time

Lakini bado itamyumbisha kwa sababu moja ni mpaka hicho chumba kipate mteja wa kulala, pili ni mpaka huyo mteja akubali kuondoka na kurudi hiyo mida ya baadae

hivyo vimfuko ni lazima viwe maalum na vibanio vya hivyo vimfuko ni lazima viwe maalum kutengeneza ugumu wa kuibiwa na huyo msimamizi wa guest

Na ninafikiri mjadala ni idadi ya vyumba vilivyokodishwa na si idadi ya watu waliotumia chumba kimoja
 
Funga Camera kila chumba

show tiime zikapigiwe choooni

ila mteja akitumia tu kitanda DAI PESA yako ukja kufata hesabu

Bila camera Utalizwa mpk ukione,labda ukae mwenyewe
Vipi kuhusu privacy za watu kuhusu hizo camera?
 
mbinu moja rahisi sana, unatengeneza vimfuko maalum hata vya bahasha kwa ajili ya kila funguo..kila kimfuko unakiandika namba ya chumba na halafu unatumbukiza funguo yake humo kisha unabana kwa stepler au gundi nzuri ya maji sehemu ya kufunga hicho kimfuko, ukipenda unagonga na muhuri wako maalum hapo...kesho yake unaenda kuchukua pesa ya vifuko vyote utakavyokuta vimechanwa kwa huyo msimamizi wa guest, meaning lazima kuna mteja alitumia hicho chumba.

Kama ww ni mmiliki na upo mbali na guest yako basi huna budi kuwa na mtu unayemwamin kwenda kukusanya hizo pesa zako

cha msingi ni kuwa na vimfuko vizuri ambavyo utajua kirahisi kama vilifunguliwa au hapana maana wajanja hawaishiwi mbinu ya kuiba
Wanaweza kuchonga funguo,mbongo mbona hana maana,ikitoka tu kwenye kimfuko unaichonga fasta.
 
Mbinu hii nilikutana nayo mkoani Kigoma. Inasaidia
mbinu moja rahisi sana, unatengeneza vimfuko maalum hata vya bahasha kwa ajili ya kila funguo..kila kimfuko unakiandika namba ya chumba na halafu unatumbukiza funguo yake humo kisha unabana kwa stepler au gundi nzuri ya maji sehemu ya kufunga hicho kimfuko, ukipenda unagonga na muhuri wako maalum hapo...kesho yake unaenda kuchukua pesa ya vifuko vyote utakavyokuta vimechanwa kwa huyo msimamizi wa guest, meaning lazima kuna mteja alitumia hicho chumba.

Kama ww ni mmiliki na upo mbali na guest yako basi huna budi kuwa na mtu unayemwamin kwenda kukusanya hizo pesa zako

cha msingi ni kuwa na vimfuko vizuri ambavyo utajua kirahisi kama vilifunguliwa au hapana maana wajanja hawaishiwi mbinu ya kuiba
 
Hii mbinu ni kwa mwenye guest anaetaka apate malipo yake ya bei ya vyumba kama alivyopanga gharama za kulala..Kama anataka pesa za short time apate pia, hii mbinu haitahusika..

Hii mbinu utapigwa kama msimamizi wa guest atakuwa akikubaliana na wateja kwamba mteja alipe bei ya kulala ya chumba mfano 30k halafu asepe kidogo arudi mida ikishaenda baadae kulala kwa ajili ya kutoa fursa ya kupiga pesa za short time

Lakini bado itamyumbisha kwa sababu moja ni mpaka hicho chumba kipate mteja wa kulala, pili ni mpaka huyo mteja akubali kuondoka na kurudi hiyo mida ya baadae

hivyo vimfuko ni lazima viwe maalum na vibanio vya hivyo vimfuko ni lazima viwe maalum kutengeneza ugumu wa kuibiwa na huyo msimamizi wa guest

Na ninafikiri mjadala ni idadi ya vyumba vilivyokodishwa na si idadi ya watu waliotumia chumba kimoja
Mkuu kama utaangalia vyumba vilivyokodishwa pekee utajikuta gharama za uendeshaji zinakuwa juu sababu hao wanaoingia na kutoka wanatumia huduma kama maji na umeme siyo kitanda tuu.

Hii Biashara kuna Mapato na gharama za uendeshaji,huwezi kuangalia mapato tu ilhali Faida inategemea Expenses.
 
Vipi kuhusu privacy za watu kuhusu hizo camera?
Hoteli kubwa zote zina camera na privacy ipo mi nataka kuanza hii biashara ya lodge ila ntampa room moja muhudumu ndio apigishie short time ndio itakua mshahara wake
 
Mleta mada uaminifu kwanza unahitajika sana kwa pande zote mbili. Msimamizi ajue kuwa mwenye mali akipata hasara biashara itakufa na mwenye mali amlipe msamamizi mshahara anaostahili. Changamoto kubwa ya guest house ni uhakika wa maji. Siku hizi vyumba vingi ni en-suite hapa matumizi ya maji yanaongezeka. Maji ya kufanyia usafi na kufulia shuka kila siku.
mbinu moja rahisi sana, unatengeneza vimfuko maalum hata vya bahasha kwa ajili ya kila funguo..kila kimfuko unakiandika namba ya chumba na halafu unatumbukiza funguo yake humo kisha unabana kwa stepler au gundi nzuri ya maji sehemu ya kufunga hicho kimfuko, ukipenda unagonga na muhuri wako maalum hapo...kesho yake unaenda kuchukua pesa ya vifuko vyote utakavyokuta vimechanwa kwa huyo msimamizi wa guest, meaning lazima kuna mteja alitumia hicho chumba.

Kama ww ni mmiliki na upo mbali na guest yako basi huna budi kuwa na mtu unayemwamin kwenda kukusanya hizo pesa zako

cha msingi ni kuwa na vimfuko vizuri ambavyo utajua kirahisi kama vilifunguliwa au hapana maana wajanja hawaishiwi mbinu ya kuiba
Point
 
Wanaweza kuchonga funguo,mbongo mbona hana maana,ikitoka tu kwenye kimfuko unaichonga fasta.
kukusanya mapato ikiwa ni mapema asubuhi kabla ya muda wa wateja kuachia vyumba itambana kufanikisha hilo...
lakini kama ulivyosema wabongo hawana maana. ila atleast umuwekee mazingira magumu ya kukuibia.

na pia kwa hilo kila funguo unaweza kuweka key holder special yenye jina la lodge/guest yako ili siku ya kufanya ziara ya kushtukiza inakuwa rahisi kumkamata
 
Lazima uwe unafanya patrol ya kushitukiza,unafika unamuuliza umejaza.?,akisema bado omba funguo na pitia chumba hadi chumba vilivyo wazi,
usiwe na mda maalumu wa kuja ili Receptionist wasikusome wakajua mda unaokuja,

Afunge Camera system, Hana haja ya kuhangaika.
 
Back
Top Bottom