lodge yako ipo mkoa gani au maeneo gani
Bosi nakuja PMHabari wana jamii forum
Nina lodge yangu sass nataka kufanya biashara na watalii. Nimeshauriwa kufanya marketing sasa sijui pa kuanzia, idea ya ku link hasa huko wanakotokea kama mfano kujua mawakala wao nakadhalika. Naomba msaada kwenye mwenye idea ama kujua biashara hii ya utalii.
Asante
Ukiwa tayari nina kijana anaweza kufanya kazi ya Sales & Marketing pia ana jua na uzoefu wa hotel management.If interested njoo PM.Habari wana jamii forum
Nina lodge yangu sass nataka kufanya biashara na watalii. Nimeshauriwa kufanya marketing sasa sijui pa kuanzia, idea ya ku link hasa huko wanakotokea kama mfano kujua mawakala wao nakadhalika. Naomba msaada kwenye mwenye idea ama kujua biashara hii ya utalii.
Asante
Asante kkLazima uwe unafanya patrol ya kushitukiza,unafika unamuuliza umejaza.?,akisema bado omba funguo na pitia chumba hadi chumba vilivyo wazi,
usiwe na mda maalumu wa kuja ili Receptionist wasikusome wakajua mda unaokuja,
Kamera zinapaswa kufungwa kwenye korridor na siyo kila chumba, kwani wateja ni binadamu wenye kuhitaji faragha zao ziheshimiwe na kutunzwa, na hukifanya hiyo jua biashara yako unaichimbia kaburi mwenyewe.Funga Camera kila chumba
show tiime zikapigiwe choooni