Faida irudi kwa muda gani ili uwekezaji uwe reasonable?

PRINCEd

JF-Expert Member
Dec 14, 2015
850
586
Wanauchumi na wafanya biashara, karibuni hapa tujadiliane, mfano uki invest milion mbili, inatakiwa irudi kwa muda gani ( maximum time) ili kidogo uonekane ni uwekezaji condusive na ni Reasonable......especially kwa biashara ndogo za kudunduliza.....

Naomba majadiliano tafadhal mweny uelewa na ujasiliamali.....
 
labda ungesema biashara ya aina gani? ila mara nyingi ndani ya miezi sita ndiyo unaweza kuona faida
 
Nadhani inategemea na biashara husika mkuu, ngoja wajuvi waje watiririke.
 
Ukiwekeza kwenye biashara ya kuleta mazao sokoni mfano waweze kununua mahindi vijijini na kuleta mjini piga mahesabu kabisa uliza bei ya usafiri na ghalama ya kuuzia mazao kisha ndo uende ukanunue mazao
 
Back
Top Bottom