Zijue faida za kupiga punyeto kwa afya yako

MKALI W MAMBO

Senior Member
Aug 9, 2018
190
135
Tendo la kupiga punyeto ni tendo ambalo nimepingwa vikali na jamii na linaonekana kama ukosefu wa maadili katika mwanadamu. Ili kufanya watu waache kufanya tendo hili kuna watu walioleta hoja kadhaa kuwa tendo hili lina madhara kwa yeyote anayefanya hivi bila kufanya utafiti wowote.

Kuna propaganda ambazo bado hazijakubalika na wanasayansi kuwa kupiga punyeto kutakufanya uwe punguani, nyingine eti utamea nywele kwa mkono na pia kuna propaganda kuwa ukitimia miaka fulani utaishiwa na nguvu za kufanya tendo la ngono. Kwa wanasayansi hio ni porojo.

Badala ya kuangalia madhara yake (hayajadhibitishwa) wanasayansi wameonelea kuangalia umuhimu wake.

Umuhimu wa kupiga punyeto

Kupiga punyeto kunaongeza nguvu mwilini
Imedhibitishwa kuwa kupiga punyeto mtu wakati anaposhusha hutoa homoni ijulikanayo kama cortisol ambayo wakati inapotolewa kwa kiwango kidogo huupatia mwili nguvu za kujikinga dhidi ya magonjwa.

Kupiga punyeto huondoa mgando (cramps) kwa wanawake
Imebainishwa kuwa badala ya wanawake kujichoma na maji ya moto wakati wameshikwa na cramps ni vyema na rahisi kwa mmoja kupiga punyeto kwani inarahisisha kusimamisha mgando huo

Kupiga punyeto kunakinga kutokana na kushikwa na kansa ya kibofu (prostate cancer)
Kupiga punyeto kunasaidia kuondoa na kusafisha sumu (toxins) zinazopatikana katika njia za mikojo (urogenital track) ambazo hufanya mtu kushikwa na magonjwa kama ya kansa. Wanasayansi wanadai kuwa kupiga [unyeto mara 3 kwa wiki kunapunguza uwezekano kwako kushikwa na ugonjwa huu wakati umetimia umri wa miaka 40.

Kupiga punyeto kunakupa manufaa ya kufurahia ngono
Punyeto humfanya mtu kujielewa mwenyewe pale ambapo anafahamu vyema kutampa furaha. Pia husaidia mtu kuufahamu mwili wake mwenyewe bila tatizo.

Kupiga punyeto kunakusaidia wewe kupata usingizi
Punyeto hupunguza kasi ya msukumo wa damu na pia kuna homoni ijulikanayo kama endorphins. Homoni hii inajulikana kumpa mtu utulifu na pia huondoa stress mwilini. Pia inajulikana kupatia mtu hisia nzuri.

Punyeto husaidia kuondoa magonjwa ya njia ya mkojo (urinary tracks infection)
Inajulikana kuwa punyeto husaidia kuondoa bacteria katika mlango wa uzazi wa mwanamke (cervix). Punyeto inafaa zaidi haswa kwa wale wanaokubwa na ugonjwa wa njia za mkojo.

Owk! nishakupa manufaa ya punyeto lakini sijakupa visababu kwa kujichafua sana....ukizidi sana fanya mara 3 kwa wiki kama vile wanasayansi walivyokubaliana.

1)Kuujua mwili wako na kujiamini zaidi linapokuja swala la kungonoka(fanya mapenzi)

2)Kuongezeka kwa hamu ya kufanya mapenzi kwa vile utakuwa unajua utamu wake.

3)Kujua "vipele vyako viliko".

4)Kutokuusaulisha mwili wako ikiwa uko nje ya uhusiano au umeamua kuwa single kwa muda.

5)Kuepuka mimba na maambukizo ya virusi vya UKIMWI na magonjwa mengi.

6)Kutembea na demu yoyote yule duniani kwa fikra mfano rihana beyonce huku umeshika dushe mapema tu wazungu hawa hapa

7)Kuokoa gharama za usafiri unapokuwa na demu mara chukua bajaji au pk pk ukipiga nyeto unaokoa

8)Unajipimia mwenyewe mkono size yako mana muda mwingine tunakutana na wanawake wana ( ) kubwa sasa kwa nyeto unajiwekea size yako

9)Hamna kelele za mara naumia mara nimechoka mara tupumzike ukipiga nyeto ww tu nguvu

Neno la mwisho vijana tupige nyeto kwa wingi ili kuokoa gharama na matumizi yasiyo ya lazima

Na wale wenye ndoa pigeni nyeto ili muwape mapumziko wake zenu

NAWASILISHA

Sent using Jamii Forums mobile appiphone
 
Nilikua mwakilishi wa Chaputa kanda ya Pwani kabla ya kuhama Chama na Kuhamia Chama Cha Kupindua ili kuunga mkono juhudi za Raisi.

Nilianza kupanda mnazi kwa mkono mmoja nikiwa na miaka 12 na sikuacha mpaka nilivyojivua uanachama. Jamani Chaputa ni mbaya sana inatumia rasilimali zake kueneza uzushi kama ulioletwa na mleta uzi.

Puchu inadhalilisha sana, haijalishi upo wapi unaweza kushangaa umeanza kupanda mnazi bila kutaka, Mfano mshauri wetu wa Afrika ya Kati (Yule waziri wa Rwanda) alipiga puchu huku bendera ya nchi yake iko nyuma yake.

Pia kumbuka video ya Ronaldinho aliyokua anajichua.

Puchu ina vijimadhara vingi vingi ambavyo huwezi kudhania. Mfano

sasa hivi sioni vizuri.

Naweza kusex lakini nisimwage.

Nina uume legelege sana.

Uume wangu umepungua urefu sasa hivi ni inchi 2 na nilikua na inchi 3.

Puchu inaingilia ratiba zako. Mfano nahitajika darasani saa mbili, nimeamka saa 12 natumia nusu saa kujiuliza nipige puchu au nisipige, naanza kupiga puchu saa 12 :30 uume unakakamaa vizuri kabisa 12:40. Video ya X ninayoipenda naipata 12:47.

Naanza kuirusha rusha ili ije ile angle ninayoitaka mpaka saa 1:10. Natumia dakika 10 kumwaga.

Natumia dakika 20 kujifuta na kujutia nilichofanya.

Naenda kuoga saa 1:50. Natoka saa 2 kamili.

Nafika Mwalimu kashamaliza nusu ya kipindi au kipindi kimeisha kabisa.

Nitarudi
 
Baraza LA maaskofu wa kiroma walithibitisha kwamba..."MASTURBATION IS NEITHER SINFULL NOR CAN HARM PARTS OF YOUR BODY"....Na wakaichapisha kupitia jarida LA ....A FORUM GUIDE TO SEXUAL PROBLEMS....LA 1978. Hivyo kuwahamaisha vijana wapige puu kuepusha madhara ktk foolish age
 
Nilikua mwakilishi wa Chaputa kanda ya Pwani kabla ya kuhama Chama na Kuhamia Chama Cha Kupindua ili kuunga mkono juhudi za Raisi.

Nilianza kupanda mnazi kwa mkono mmoja nikiwa na miaka 12 na sikuacha mpaka nilivyojivua uanachama. Jamani Chaputa ni mbaya sana inatumia rasilimali zake kueneza uzushi kama ulioletwa na mleta uzi.

Puchu inadhalilisha sana, haijalishi upo wapi unaweza kushangaa umeanza kupanda mnazi bila kutaka, Mfano mshauri wetu wa Afrika ya Kati (Yule waziri wa Rwanda) alipiga puchu huku bendera ya nchi yake iko nyuma yake.

Pia kumbuka video ya Ronaldinho aliyokua anajichua.

Puchu ina vijimadhara vingi vingi ambavyo huwezi kudhania. Mfano

sasa hivi sioni vizuri.

Naweza kusex lakini nisimwage.

Nina uume legelege sana.

Uume wangu umepungua urefu sasa hivi ni inchi 2 na nilikua na inchi 3.

Puchu inaingilia ratiba zako. Mfano nahitajika darasani saa mbili, nimeamka saa 12 natumia nusu saa kujiuliza nipige puchu au nisipige, naanza kupiga puchu saa 12 :30 uume unakakamaa vizuri kabisa 12:40. Video ya X ninayoipenda naipata 12:47.

Naanza kuirusha rusha ili ije ile angle ninayoitaka mpaka saa 1:10. Natumia dakika 10 kumwaga.

Natumia dakika 20 kujifuta na kujutia nilichofanya.

Naenda kuoga saa 1:50. Natoka saa 2 kamili.

Nafika Mwalimu kashamaliza nusu ya kipindi au kipindi kimeisha kabisa.

Nitarudi

Chaputa huwa hatuhami kizembe nakutazama tuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom