Fahyma amuonya Ibraah wa Konde Gang, aache kupost picha yake. Asema watafika pabaya

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Kupitia Instagram yake Fahyma ambaye ni mama mtoto wa Rayvanny ameandika kuwa:-

NAOMBA IFIKE MUDA MUWE NA HESHIMA NA JINA LA MTU UNAE TUMIA PICHA YANGU NA JINA LANGU KWA MANUFAA YAKO SHERIA ITAFATA MKONDO WAKE NIPO KIMYA SITAKI MAZOEA YAKIJINGA.. kwakuongezea Naomba jina langu au picha zangu zisitumike kwenye mambo ya drama I’m not a drama queen.. so plz naomba nisihusishwe na ujinga waina yeyote ule tafadhali

Naomba nieleweka Sina Mahusiano na mtu waina Yeyote yule hasa wewe unaetumia picha zangu Nadhani nimeeleweka ikiendelea hii tuta pelekana Pabaya. Maana nimekaa kimya siokwamba sioni naona ila nimeongea Kukanusha mambo yaki jinga.. Mimi ni mtu na kheshima zangu.. ivyo nisi tumike kijinga tafadhali.

Vipi hawa Vijana wa Ali Kiba
 
Ila Konde Harmonize na huyu dogo wana tabia chafu sijawahi ona..inaelekea in real life wanapenda sifa sana hawa watu sijawahi kukutana nao physically niwasome tabia but i hope tabia za hawa vijana ni mbovu sana hasa kupenda sifa na majungu
Umejuaje yote hayo na hujawahi kuwaona..
Acha majungu Dada
 
Ila Konde Harmonize na huyu dogo wana tabia chafu sijawahi ona..inaelekea in real life wanapenda sifa sana hawa watu sijawahi kukutana nao physically niwasome tabia but i hope tabia za hawa vijana ni mbovu sana hasa kupenda sifa na majungu
Wewe mwenyewe ni SUKULE lililokomaa ndio maana unaona matatizo upande mmoja. Kueni basi, akili za kuku kabisa
 
Back
Top Bottom