Fahari ya macho ni kuona

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
kempinski+pinye
 
Minyama uzembe mbavuni kibao!...Anapiga menyu sana huyu!

Na wewe PJ we unataka mwenzio asipate menu ...hebu nipe mbinu za kuyapunguza naona yananinyemelea kwa mbali..mie na chakula damu damu kweli kweli...
 
wATanzania kwa kukaa uchi siku hizi ni balaa, hapo kuona Ch*pi ni juhudi zako tu, maana huyo akikaa kwenye sofa kama huyo mwenzie mwanye Laotop basi kila kitu kinakuwa wazi,

mwisho wa siku wanaume wakizoea kuviona hivyo vitu na kuvifanya kuwa ni vya kawaida tu, wanaanza kukoboana,
 
naomba mnieleze kilichopo kwenye hiyo picha mie leo naumwa RED EYES sioni kabisa
 
Kijungu cha kishkaji mmekionaa?
...Mazee acha kabisa..hicho ukitengewa kwa yale mapigo ya kuchuma matembele unaweza kutoa password ya ATM bila kujua kama a/c yaweza kufagiliwa na usiamini kama wewe ndio ulisababisha...Dah!!!
 
wATanzania kwa kukaa uchi siku hizi ni balaa, hapo kuona Ch*pi ni juhudi zako tu, maana huyo akikaa kwenye sofa kama huyo mwenzie mwanye Laotop basi kila kitu kinakuwa wazi,

mwisho wa siku wanaume wakizoea kuviona hivyo vitu na kuvifanya kuwa ni vya kawaida tu, wanaanza kukoboana,

Duh yawezekana kweli
 
Kasafi ka sura na muonekano lakini inaonekana kachafu kwa tabia. Ila kwa kupitia kama kitafunio kanafaa kwa wenye matamanio. Mimi walaaaa nshakuwa mzee miyeeeee!
 
Kichwa cha thread ndo kimenifanya niingie humu, baada ya kuingia sioni hiyo fahari ya macho.. ahgrii.!!
 
wATanzania kwa kukaa uchi siku hizi ni balaa, hapo kuona Ch*pi ni juhudi zako tu, maana huyo akikaa kwenye sofa kama huyo mwenzie mwanye Laotop basi kila kitu kinakuwa wazi,

mwisho wa siku wanaume wakizoea kuviona hivyo vitu na kuvifanya kuwa ni vya kawaida tu, wanaanza kukoboana,

Kama kweli kuna ch*pi!! Nikizoom sioni hata alama za ch*pi!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom