Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,819
- 9,171
Ushajibiwa kuhusu utapeli wa Ontario ,watu kibao waliweka hadi screenshots zake humu za utapeli ,umeambiwa alipost mjengo wa watu akajifanya amemjengea mzazi wake ,mdau akamwambia aondoe ile picha akamblock hadi ushahidi hupo wa screenshots.Taja mtu mmoja alie tapeliwa na Ontario.. TMT unaijui ? unajua ilikua inafanya kazi gani?? yani unashinda kupata jina au mtu mmoja tu unae mjua katapeliwa na Ontario alafu unavimba hapa kusema jamaa katapeli watu ? acheni hayo mawazo ya kijinga
Tupambane kutafuta pesa na si vinginevyo
Acheni utapeli nyie fanyeni kazi halali watu wanatafuta hela katika mazingira magumu nyie mnakuja kuwatapeli mtakuja kupata laana.