Fahamu zaidi kuhusu Mr Kuku

Namjua kwa karibu sio hadithi hadithi.. hebu leta hiyo picha
IMG-20200812-WA0016.jpg IMG-20200812-WA0017.jpg IMG-20200812-WA0018.jpg
Aya pambanaaa sasaaa
IMG-20200812-WA0016.jpg
IMG-20200812-WA0017.jpg
IMG-20200812-WA0018.jpg
IMG-20200812-WA0016.jpg
IMG-20200812-WA0017.jpg
IMG-20200812-WA0018.jpg
 
Huyu jamaa ni tapeli per se! Ole wenu mnaokubali kutapeliwa mchana kweupe tena kwa jambo lililo dhahiri. Nina uhakika fedha zenu zitapotea na hamtakuwa na namna ya kumshtaki kwani anafanya utapeli wa kisayansi! Anafuata sheria zote na mwisho wake jibu litakuja kuwa ''kampuni ilifikilisika kama biashara yoyote inavyoweza kufilisika''. Na sheria itakuwa upande wake kwani ninyi wawekezaji mmejiunga kwa hiyari baada ya kuafiki katiba na kanuni za kampuni ikiwemo kufilisika.
Mkuu wewe ni nabii?
 
Utapeli wake uko wapi?

Ana mwaka wa tatu akiendesha mradi wake kwa mfumo huohuo, je ana rekodi ya kumtapeli mtu yeyote?

Uwekezaji ni lazika uwe wa kampuni za soda, beer au na bank? Kwamba uwezekaji kwenye ufugaji sio sahihi?

Je, kampuni kubwa ambazo watu wanawekeza huwa hazifilisiki?

Huyu bwana angehukumiwa kwa matumizi ya pesa za wawekezaji na sio kuweka general comments kwamba ni tapeli bila kueleza utapeli wake. Mbona hii mifumo inafanyika hata kwenye vikundi vyetu (formal na informal). Tunachangishana pesa na kuwekeza kwenye kilimo na miradi mingine kisha tunagawana faida.

Je, pesa anayokusanya anaiwekeza kwenye miradi inayohusiana na kuku au hakuna biashara yoyote ya Kuku na anafanya PONZI SCHEME?

Huyu bwana hayuko Ulaya, yuko Kigamboni na ana ofisi plus mashamba ya kuku, YENYE KUKU. Kabla hujaharibu biashara na miradi ya watu mtandaoni uende kwaza ukajiridhishe. GNLD na FOREVER LIVING nao walitukanwa sana kwamba wanafanya utapeli lakini mpaka leo wapo wanapiga mzigo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi huyu mtu bado yupo humu ndani?
 
Unamwamini Ontario?? Mtu aliyeweka nyumba ya wazazi wa rafiki yangu kwenye mitandao huko na kuaminisha watu eti nyumba hiyo kawajengea wazazi wake..

Huyo nae ni tapeli kama wengine tu..
Mkuu isije ikawa uyo rafiki yako ndio kakudanganya
 
Alikufanya nn ? mbona mtu poa sana ? hebu jaribu kua na mtu karibu umjue mwenyewe na sio kuambiwa na watu

Ni mtu poa sana ila sio kwenye pesa, kwenye pesa kukufanya kuwa fursa kwake ni mda mfupi tu
 
Ni mtu poa sana ila sio kwenye pesa, kwenye pesa kukufanya kuwa fursa kwake ni mda mfupi tu
huyo mtandao wenyewe uliokufanya ukaingia hapa wewe ni fursa tayari, max wewe kwake n fursa, kila kitu unachotumia hujazalisha ww, kauuzia mtu au kazalisha mwingine ww kwao ni fursa,

umepungukiwa nn baada ya kua fursa kwa wote hao?
 
Kwahiyo hapo mkuu wewe ukisoma unaona kasema alijenga hiyo nyumba?? mbona kiswahili ni lugha rahisi sana ... kasema ndoto yake kaweka picha kama mfano wa kitu anachotaka fanya

Ambacho hujaelewa ni kipi, amesema watu waweke malengo 2020, akasema alijiapiza 2019 lazima awajengee wazazi wake nyumba ya kisasa ambayo ndo hiyo hapo pichani.
 
Ambacho hujaelewa ni kipi, amesema watu waweke malengo 2020, akasema alijiapiza 2019 lazima awajengee wazazi wake nyumba ya kisasa ambayo ndo hiyo hapo pichani.
Teh teh mkuu bila shaka hao kama sio washirika wake wa karibu, basi bado wana giza machoni pao..

Huyo mmoja alisema yeye ni mtu wake wa karibu so labda ndio maana anamtetea..
 
Kwahiyo hapo mkuu wewe ukisoma unaona kasema alijenga hiyo nyumba?? mbona kiswahili ni lugha rahisi sana ... kasema ndoto yake kaweka picha kama mfano wa kitu anachotaka fanya
Mkuu kama hujaelewa mie sina wajibu wa kukuelewesha hapo.. Lugha za kitapeli ziko smart sana ili likibumburuka basi apate loophole ya utetezi. Sasa huo utetezi ndio huu hapa wako teh teh teh

Unamjua kwa karibu sana au sio mazee..
 
Teh teh mkuu bila shaka hao kama sio washirika wake wa karibu, basi bado wana giza machoni pao..

Huyo mmoja alisema yeye ni mtu wake wa karibu so labda ndio maana anamtetea..

Bila shaka hyu ni mshirika wake namba moja
 
Unamwamini Ontario?? Mtu aliyeweka nyumba ya wazazi wa rafiki yangu kwenye mitandao huko na kuaminisha watu eti nyumba hiyo kawajengea wazazi wake..

Huyo nae ni tapeli kama wengine tu..

Bila shaka hyu ni mshirika wake namba moja

Wakuu msiumize vichwa ,Ontario ni Tapeli Mjanja mjanja kwa watu ambao hawana upeo lazima awaingize king,Ontario kaanzisha Shindano la kujishindia laki 1 kwa watu 10 ,mmoja wa washindi ni Dan Pol na ametaja sifa nyingi sana za Dan Pol mpaka akampa laki 1 ,ukichunguza utajua tu Dan Pol ni Ontario mwenyewe.
 
Back
Top Bottom