Fahamu zaidi kuhusu maradhi ya Wasiwasi

Hakuna tena hapa jamvini kama MziziMkavu katika jitihada za kutuelimisha katika mambo mbali mbali kuhusu vyakula, magonjwa na mambo mengine mbali mbali. Ubarikiwe sana Mkuu.

huyu anastahiki kupewa ufanyakazi bora keep it up.umejiandaaje kuupokea mwenzi wa toba?
 
Kaka asante kwa ushauri wa tiba unaotoa. Huo ugonjwa wa wasi wasi unanisumbua huu ni mwezi wa saba sasa, niko ntumia dawa za hospitali aina ya imipramine na Oleanz 5.

Lakini pia nimeenda kununu Almond na nimeshaanza kuzitumia (hasa baada ya kuona kuwa hazina madhara). Lakini swali langu la msingi ni Je, nitumie kiasi gani na kwa muda gani ili niwe nimepona kabisa? Napata shida sana sana sana wakati mwingine nakua na sononi. Asante! @MiziziMkavu
 
Kaka asante kwa ushauri wa tiba unaotoa. Huo ugonjwa wa wasi wasi unanisumbua huu ni mwezi wa saba sasa, niko ntumia dawa za hospitali aina ya imipramine na Oleanz 5. Lakini pia nimeenda kununu Almond na nimeshaanza kuzitumia (hasa baada ya kuona kuwa hazina madhara). Lakini swali langu la msingi ni Je, nitumie kiasi gani na kwa muda gani ili niwe nimepona kabisa? Napata shida sana sana sana wakati mwingine nakua na sononi. Asante! @ MiziziMkavu
Mkuu kula Lozi aka (Almond) japo 12 kwa siku inatosha kukuondolea hayo maradhi ya wasiwasi.

FAIDA YA ALMOND.jpg
 
Plz check me n
Mkuu hayo maradhi ya Wasiwasi yanatokana na shetani mbaya Pepo wachafu pia mimi ninaweza kuyatibu na mtu mwenye huo ugonjwa ukamuondokea mara moja licha ya hiyo dawa ya lozi kuitowa mimi mwenyewe kunako miaka ya 1990 nilikuwa nayo nikatumia dawa hiyo ya Lozi Almond Maradhi yakaniondoka. Mkuu hakuna maradhi yasiyokuwa na Dawa ila kifo tu ndio hakina Dawa mkuu................. Mziba

View attachment 469299
plz mziba mm Nina hilo tatizo naomba msaada wako nateseka sana yani plz chek me 0652714317
 
Moyo wng unakosa sanah amn na pumzi I atoka kidogo aitok nyingi yote kwasababu ya mawazo ya mahisiano kila nikienda hospital wananipa vdonge vya msongo wa mawazo sasa ngoja nijaribu iyo tiba me mpk. Nishaanza kumtafuta mchaw nani.
 
Kaka asante kwa ushauri wa tiba unaotoa. Huo ugonjwa wa wasi wasi unanisumbua huu ni mwezi wa saba sasa, niko ntumia dawa za hospitali aina ya imipramine na Oleanz 5.

Lakini pia nimeenda kununu Almond na nimeshaanza kuzitumia (hasa baada ya kuona kuwa hazina madhara). Lakini swali langu la msingi ni Je, nitumie kiasi gani na kwa muda gani ili niwe nimepona kabisa? Napata shida sana sana sana wakati mwingine nakua na sononi. Asante! @MiziziMkavu
Naomba kuuliza kwn unaweza tumia ukiwa unatumia na dawa za hospital ,Ndugu zang hii ipo jaman ,mm mwenyewe baada ya muda mrefu Sasa ndio nmepata diagnosis nmegundulika Nina GAD naombeni msaada wenu na kwa waliyokwisha fanikiwa kupona kwa kutumia hii almond
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom