Fahamu zaidi kuhusu la ugonjwa wa Vitiligo na tiba yake

Ebu nielekeze. Nifanye nini?
Nenda kwenye upande wa kushoto kuna mistari mi3 then click hiyo mistari utaona setting ukiclick kwenye setting uyaona sehemu imeandikwa Push notifications paclick then utaona sent me private message ndo ubonyeze hapo kwenye kibox cha hyo Pm kilaweka alama ya Tiki baada ya hapo nadhani utaanza kupata Private message
 
Jamani mwenye kufahamu kuhusu ugonjwa wa vitiligo, haswa tiba yake au jinsi ya kupunguza maambukizi anijuze, ASANTENI!!
 
Vitiligo ni ugonjwa unaomfanya mtu apoteze rangi ya ngozi na kusababisha awe na mabaka mwilini mwake. Sehemu zinazopoteza ngozi huongezeka kadiri siku zinavyoongezeka. Hali hii huweza kutokea sehemu yo yote katika mwili. Inaweza kutokea kwenye nywele na hata ndani ya mdomo
Dr. Sebi Vitiligo Cause of lack of iron. Vitiligo inasababishwa na Upungufu wa Madini ya chuma Mwilini.

Dr Sebi:
Vitiligo, she asked about vitiligo.
You know I have not been as successful in the past as I would have liked to be with vitiligo, but in the last six years. I think I have found the answer. It is the lack of iron. It is CARBON being lost because of the iron that supports it.
So the important takeaway from this is Dr Sebi once again stresses the importance of iron. He said that carbon is being lost as a result of lack of iron.
Which ever health condition one is dealing with it is important to always begin by first cleansing the body and then of course feeding the body the nutrient that is lacking as Dr Sebi has taught.

Tumaini muwazima.

Naomba Msaada. Nina tatizo la ngozi kwa muda mrefu sana wa miezi mitatu. Nimekuwa napata alama nyeupe kwenye mwili wangu na tatizo hili liko sana mgongoni na mikononi
Mkuu imesha sambaa kwa kiwango gani mwilini?
Je wewe Ni me au ke?
Samahani kwa hayo maswali
 
Kama unadhani mimi nafanya biashara ya kuuza dawa, kaa na ugonjwa wako. Unadhani watu niliowaandikia hiyo dawa wakapona walinipa hata shilling moja?

Huna haja ya kuniita tapeli. Ugonjwa wako, halafu unanitukana mimi niliykwisha kupona tena kwa sh. thelathini elf tu. Watu nakutana nao kwenye mikutano na vyombo vya usafiri nawaandikia dawa siwafahamu hawanifahamu. Halafu leo eti kune pm unaona nitakutapeli. Pole .
Hi guys....nimejaribu kum pm nimeshndwa siwezi....lakini nina shda sana mtoto anachekwa shuleni naomba msaada ni dawa gani atumie kuponyesha vitiligo...plz help me
 
Jamani mwenye kufahamu kuhusu ugonjwa wa vitiligo, haswa tiba yake au jinsi ya kupunguza maambukizi anijuze, ASANTENI!!

UFAHAMU UGONJWA WA VITILIGO
Vitiligo ni ugonjwa ambao unaathiri ngozi,unaotokana na kuharibiwa kwa cells za kutengeneza rangi ya ngozi zinazojulikana kama (melanocytes). Chanzo halisi cha celi hizi kushambuliwa bado hakijajulikana kitaalam, hivyo Wataalam Wengi kupata ugumu wa kujua tiba sahihi ya ugonjwa huu.Tatizo hili la ugonjwa wa ngozi kwa anaye hitaji dawa za kienyeji ambazo zina uwezo wa kutibu na kuondoa kabisa ugonjwa huu hatari wasiliana nami kwa +255766950256
 
Pole sana mkuu,

Sitaki kukukatisha tamaa ya kupona lakini ukweli ni kuwa vitiligo, (mabaka meupe mno) haitibiki. Ni miongoni mwa magonjwa ya auto immune, yaani kinga ya mwili inashambulia cells zinazoitwa melanocyte ambazo ndio zinazotengeneza rangi nyeusi tuliyonayo.

Shida hii ni kasoro ya kuzaliwa na inafata ukoo japo si kila mtu katika ukoo aweza pata. Shida hii inawapata watu wa rangi zote.

Na ajabu ni kuwa pamoja na kuwa wazungu ni weupe but akiwa na vitiligo huwa inaonekana wazi (very conspicious) Dawa nyingi zimejaribiwa but hakuna iliyoibuka tiba.

Baadhi ya watu wakitumia prednisolone au hydrocortisone ya kupaka waweza pata nafuu but ni baada ya muda mrefu.

Tiba ya uhakika ni kuikubali hali hiyo, na kuipuuza kwa sababu haiumi, wala haiwashi. Otherwise nimeona watu wakipoteza fedha nyingi na hawakupona.

Kama unaishi karibu na hospitali kubwa kama Muhimbili, KCMC, Bugando au Mbeya waweza pata ushauri wa Dermatologist.

UFAHAMU UGONJWA WA VITILIGO
Vitiligo ni ugonjwa ambao unaathiri ngozi,unaotokana na kuharibiwa kwa cells za kutengeneza rangi ya ngozi zinazojulikana kama (melanocytes). Chanzo halisi cha celi hizi kushambuliwa bado hakijajulikana kitaalam, hivyo Wataalam Wengi kupata ugumu wa kujua tiba sahihi ya ugonjwa huu.Tatizo hili la ugonjwa wa ngozi kwa anaye hitaji dawa za kienyeji ambazo zina uwezo wa kutibu na kuondoa kabisa ugonjwa huu hatari wasiliana nami kwa +255766950256
 
Mkuu imesha sambaa kwa kiwango gani mwilini?
Je wewe Ni me au ke?
Samahani kwa hayo maswali

UFAHAMU UGONJWA WA VITILIGO
Vitiligo ni ugonjwa ambao unaathiri ngozi,unaotokana na kuharibiwa kwa cells za kutengeneza rangi ya ngozi zinazojulikana kama (melanocytes). Chanzo halisi cha celi hizi kushambuliwa bado hakijajulikana kitaalam, hivyo Wataalam Wengi kupata ugumu wa kujua tiba sahihi ya ugonjwa huu.Tatizo hili la ugonjwa wa ngozi kwa anaye hitaji dawa za kienyeji ambazo zina uwezo wa kutibu na kuondoa kabisa ugonjwa huu hatari wasiliana nami kwa +255766950256
 
Dr. Sebi Vitiligo Cause of lack of iron. Vitiligo inasababishwa na Upungufu wa Madini ya chuma Mwilini.

Dr Sebi:
Vitiligo, she asked about vitiligo.
You know I have not been as successful in the past as I would have liked to be with vitiligo, but in the last six years. I think I have found the answer. It is the lack of iron. It is CARBON being lost because of the iron that supports it.
So the important takeaway from this is Dr Sebi once again stresses the importance of iron. He said that carbon is being lost as a result of lack of iron.
Which ever health condition one is dealing with it is important to always begin by first cleansing the body and then of course feeding the body the nutrient that is lacking as Dr Sebi has taught.

UFAHAMU UGONJWA WA VITILIGO
Vitiligo ni ugonjwa ambao unaathiri ngozi,unaotokana na kuharibiwa kwa cells za kutengeneza rangi ya ngozi zinazojulikana kama (melanocytes). Chanzo halisi cha celi hizi kushambuliwa bado hakijajulikana kitaalam, hivyo Wataalam Wengi kupata ugumu wa kujua tiba sahihi ya ugonjwa huu.Tatizo hili la ugonjwa wa ngozi kwa anaye hitaji dawa za kienyeji ambazo zina uwezo wa kutibu na kuondoa kabisa ugonjwa huu hatari wasiliana nami kwa +255766950256
 
Kama unadhani mimi nafanya biashara ya kuuza dawa, kaa na ugonjwa wako. Unadhani watu niliowaandikia hiyo dawa wakapona walinipa hata shilling moja?

Huna haja ya kuniita tapeli. Ugonjwa wako, halafu unanitukana mimi niliykwisha kupona tena kwa sh. thelathini elf tu. Watu nakutana nao kwenye mikutano na vyombo vya usafiri nawaandikia dawa siwafahamu hawanifahamu. Halafu leo eti kune pm unaona nitakutapeli. Pole .
Habari yako Kaka, naomba unisaidie dawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom