Fahamu wakati ambao mwanamke huwa na ashki kali zaidi

Mtaachana tu
Mavi ya chatu ni ulinzi tosha kabisa, kila atakae jaribu kuwaachanisha, anaachwa yeye!! utaachana ukitaka au labda mke hana nyota ya Mali! ! lkn mke yangu ana nyota Maweee! thubutu!! utaachwa wewe mpaka utambalie ugoko nakwambia!

yaani ni kata funua la uchawi ambalo hujawahi shuhudia Duniani!
 
Niliyonayo yananitosha nitaongeza nalohitaji mkuu kwaheri bakini na mavi yenu ya chatu..😅
 
Ahahahahah! mkuu unaenda wapi njoo tukupe drs! nikusaidie kitu kimoja mavi ya chatu wala siyo shida kuyapata! kuna yale majoka ya kibisa yanatunzawa na kijana wa kisukuma mpatie mpunga kidogo tu anakupa kiulainii palee makumbusho wahi leo yupo nimemuona anaranda randa nje pale......
 
Sijawahi hata kuwaza chatu huwa anatoa kinyesi..🤣
Sasa unayafanyaje hebu sema Kuna kiumbe huku nataka nikigalagaze moyo..🤣
 
a

haaa mkuu tumiamkujikinga tu hata ukichukua kidogo tu kiwashie moto km udi ivi af tamka jinale na uanchotaka kwisne
 
Back
Top Bottom