Fahamu wakati ambao mwanamke huwa na ashki kali zaidi

Fatilia hizo siku utajua ni ukweli...😁
Hata viuno haupigi sana, kidogo tu mtu anapata orgasm
Viuno vya uhakika wa kurusisha marejesho kwenye vikoba🧐 Kama natuona hapo hata kama mzeebaba ana kibamia unatoa kilio cha kujifanya unaumia 😆 wanawake tutakaokutana peponi ni wachache sana
 
Mkuu hebu kwanza tukumbushe kale ka MENSTRUAL CYCLE, wengi tumeshakasau. Ili tuanza kuelewa baada ya siku ngapi ndio inakuwa nini..
ahaaa sijakuelewaa mkuu, kwamba nielezee siku za hedhi kwa kila mwanamke??
 
Back
Top Bottom