Fahamu vyakula vinavyoleta hamu ya tendo la ndoa.

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,480
9,241
Hakuna binadamu asiyefahamu nini maan ya mapenzi na kama wapo basi ni wachach sana na wanaweza kuwa hawafahamu kw maneno lakini kivitendo wanakuwa wanafahamu aidha kwa kuona, kusikia na hata kwa wao wenyewe kushiriki kwenye mapenzi hayo.

PILIPILI
Kama tunavyojua wote mara nyingi chakul ambacho kimeungwa pilipili hufanya hat mapigo ya moyo kuwa tofauti na waka mwingine hata jasho kutoka au kama kutoka. Kwenye pilipili kuna kitu kinaitwa capsaicin ambacho hufanya pilipili iwe na hali ya ukali ambao huwezesha ubongo kutoa homoni ya endorphins ambayo katika hali ya juu huleta mgusu wa hisia za raha

Pia pilipili husisimua mfumo wa ufaham (nerves) wa ubongo na katika kufanya hivyo huwezesha kuamshwa haraka kimapenzi (kunyegeka) na pia ili ukiguswa au kubusiwa au kunyonywa au kupapaswa uweze kupata hisia kila sehemu

NAFAKA
Nafaka zina nyuzinyuzi (fibre) na suka ngumu (complex sugar) ambazo kusaidi kutunza uzito wa mwili. Nafaka husaidi katika kuzalisha homoni za testosteron kwenye damu. Na pia nafaka huwezesh mtu kuwa na nguvu hatimaye kwend masafa marefu wakati wa tendo. Kula nafaka nzima kama vile brown bread badala ya white bread, pia kula nafaka halisi badala ya cornflakes ni jambo zuri linalokuhakikisha afya njema na mahusian mazuri ya ndoa yako

MATUNDA NA MBOGA ZA MAJANI.
Mlo wenye matunda na mboga za maja una matokeo makubwa sana katika ham ya tendo la ndoa kwa njia nyingi. Kwanza matunda na mboga za majani hupunguza kiwango cha mafuta na unene (cholesterol kuongezeka kwa mafuta mwilini huzui mzunguko wa damu kwa kubana mishipa ya damu.

Pia kula matunda na mboga za majani huhakikisha balance ya uzito kwa unene (obesity) kwa wanaume kuna matokeo mabaya katika kuzalisha home za testoeterone na hatimaye jogoo kushindwa kuwika na kuwa na libido kidogo. Na pia wanandoa wanapozidi kunenepeana ndipo na hali ya kufurahia na kutaka au hamu ya tendo la ndoa huzidi kupungua.

TANGAWIZI
Tangawizi ni chakula ambacho husisimua sana mfumo wa mzunguko wa damu mwilini, na tangawizi zinajulikana sana kwa kusukuma damu kwenda sehemu za viungo vya uzazi yaani uke na uume. Inaweza kuliwa mbichi, au kupikwa na kuanikwa na kuwa kama unga.

ASALI
Asali ina madini yanayoitwa boron, ambay husaidia mwili kutumia homoni ya estroge ambayo ni homoni inayohusika na viung ya uzazi na mapenzi kwa mwanamke. Pi kuna utafiti unaoonesha kwamba asa huongeza nguvu, kitendo ambach kitapelekea mwanamke kuwa uwezo n hamu ya tendo la ndoa au libido.

KARANGA
Karanga huhusika moja kwa moja n kutunza mfumo wa mzunguko wa damu kuwa na afya (vascular system). Pia mfumo wenye afya (mzunguko wa damu) katika uke na uume huwezesha mwanaume na mwanamke kupata msisimko wa mapen haraka hatimaye tendo la ndoa kuwa zuri
Pia karanga zina madini muhimu kama vile magnesium, asidi ya folic na zinc ambayo muhimu sana katika usalishaji wa mbegu za mwanaume.

OYSTERS
Huwa na kiasi kikubwa sana cha madini ya zinc na haya madini ndiyo huhusika zai na uzalishaji wa homoni ya testosteron kwa wanaume. Pia imethibitika kwamba wanaume wenye ukosefu wa madini ya zinakuwa na matatizo ya nguvu za kiume na wakati huohuo kuwa na madini mengi ya zinc mwilini huongeza kiwango cha shahawa.

SOYA
Pamoja na kuwa na kiwango kidogo san cha fat na pia kuwa na kiwango kizuri ch protein, soya zina phytoestrogens ambay husaidia sana wanawake ambao wamefiki menopause kutengeneza homoni estrogen y ziada. Husaidia uke kuwa laini (we lubricated) mwanamke akisisimliwa waka wa tendo la ndoa.

CHOCOLATE
Chocolate ina phenylethylamine, kemika ambayo husababisha hisia (feelings) z furaha wakati wa mwanamke na mwanaume kufika kileleni (orgasm) This is a short description in the author block about the author. Yo edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel. Wakubwa tu: Fahamu vyakula vinavyoongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa itakusaidia sana kulinda ndoa yako Fanya haya mtaishi mda mref kwenye Mahusiano na kufurahi penzi
 
Sawa
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom