Cha Ajabu Mozila haipo
Ila mpaka kwenye desktop ambako Chrome sio default bado inatawala na Mozilla inazidi kuanguka.Chrome ni kwa sababu inakuja by default kwenye devices za Android ila tofauti na hapo wengi hawaijuwi na inakula sana RAM
Ingawa ndiyo ninayoitumia lakini bado Firefox ni bora zaidi
Hii natumiaga kuingia darkweb tu, ina maajabu gani mengine?!Tor browser fire
Hii natumiaga kuingia darkweb tu, ina maajabu gani mengine?!
Anha sawa, ila siku hizi watu wanatumia RDP ku access darkweb na sites zingine hatari na ndiyo at least njia salama (Remote Desktop Protocol) nadhani uko familiar na hili pia.Maajabu ndo hayoo tuuu mzee
Uko sahihi sana, kwa simu natumia Firefox, kwa Pc natumia Edge.Chrome ni kwa sababu inakuja by default kwenye devices za Android ila tofauti na hapo wengi hawaijuwi na inakula sana RAM
Ingawa ndiyo ninayoitumia lakini bado Firefox ni bora zaidi
Anha sawa, ila siku hizi watu wanatumia RDP ku access darkweb na sites zingine hatari na ndiyo at least njia salama (Remote Desktop Protocol) nadhani uko familiar na hili pia.