Fahamu vitu vinavyotofautisha gharama za ujenzi kwenye majengo yenye kufanana mchoro

Huwezi kumwaga jamvi kabla ya kuweka mfumo wa maji, kama umefanyiwa hivyo jiulize wewe mwenyewe kwanza juu ya aina ya fundi uliyemtumia, yawezekana ulimtafuta mtu cheap.

Kuhusu kutindua kuta kwaajili ya wiring, hili huwezi kwepa labda zitengenezwe tofali zenye mifeleji.
Kuhusu sehemu ya kutolea moshi nadhani utamaduni na mazoweya ndio husababisha tusahau kuviweka. Be blessedView attachment 1006307 ona mfumo wa maji ukiwekwa kabla ya zege
Kwa hiyo wewe ni fundi aghali eee
 
Kwanini nyumba zetu huwa zina majiko ndani lakini hazina sehemu za kutolea moshi nje?! Tangu kwa archtecture mpaka kwa civil engineer.
Kwanini mjenzi haachi maeneo ya kuweka vyoo, anamwaga zege kisha anakuja kutindua zege, wakati alifahamu tangu mwanzo kutawekwa mfumo wa maji machafu, na hata maji masafi, kwanini yasiwekwe wakati wa ujenzi wanasubiri hadi nyumba inaisha wanaanza gharama za kutindua zege na ukuta?!
Mnaposoma huwa hamfundishwi au ni ujinga wa wataalam wetu?!

Hata mi hili huwa najiuliza sanaa
 
Habari mkuu, kwanza nashukuru kwa uzi mzuri kabisa.Nilikua naomba kujua roughly gharama ya msingi wa nyumba yenye vyumba vitatu vya kulala, kimoja kiwe master, choo, sebule, dining, jiko na chumba cha kusomea. Kiwanja kipo eneo tambalale, naomba makadirio ya gharama ya msingi, ad kwenye renta na jumla ya nyumba nzima bila finishing. Ahsante
 
Boma tsh 15m

Kupaua 9m - 11m
 
Back
Top Bottom