I have plenty of time, nimeshaanza kufanya tafiti kwa week mbili sasa na bado naendelea kufanya kila siku, actually nina baadhi ya apps tayari kwenye simu yangu.Somo lake refu. Sio la siku moja au wiki 2.
Asante, nimesha karibia, hizo theory tayari nazijua nataka watu ambao tayari wanafanya biashara hii watupe uzoefu wao@sr.magdalena njoo
Hasara kupata ni rahisi zaidi kuliko kupata faida. Hasara ipo nje njeJe huwezi kupata hasara?
Kodi analipa mwenye beuro de changeHii biashara inahitaji nidhamu ya hali ya juu. Lakini mleta Uzi ungetolea mfano mtu mwenye capital mf; 500,000/= tsh. Akaingia duka la fedha na kununua dola kwa bei mfano 2019. Akaenda na dola zake nyumbani, kesho akapata taarifa dola zinauzwa kwa 2030 akaenda kuuza na kupata faida ya Tsh. 11 per dolar. Je, nimekuelewa? Pili, kwa nini nikae na hela muda mrefu kwa nini nisinunue dola asubuhi nikauza jioni kama nitapata faida? Thirdly, hii biashara unalipaje kodi???
mkuu hii.ni.betting mana unanunua af unaweka limit ya.mda hasara kabisa nje nje.hii.ni betting yakistaarabu tuHasara kupata ni rahisi zaidi kuliko kupata faida. Hasara ipo nje nje
Probability of being dead is also high! ha!ha!Mi nataka nizinunue tu kila mwezi nizihifadhi mahesabu nitakapo stafu kazi miaka 30 ijayo nafikiri nitakuwa bilionea kila mwezi nanunua dola 100 naziweka baada ya miaka mitano nitaanxa dola 300 kwa mwezi naweza mi nazikusanya uchumj Wa Tanzania wala hauwezi kukua kila siku unaporomoka na ukikua hauwi stable kwa miaka hii 10 ya Jpm utastabilize Ila akishatoka tu utaporomoka vibaya sana hasa kipindi kile cha uchaguzi 2025 so labdaaa dolari moja itakuwa buku 5 nani anajua kama nimesave dolari 20000 kwa miaka kumi ukizidisha Mara tano si nitakuwa KIBOPA Mimi ***** hahahahahah
Tutaelewana tu enzi hizo wacha tuzinunue madafu yanashuka thamani tu.
Leo buku 10 ukilichenji tu limepukutika shabashhh
Watakula watoto nitakuwa nimekivusha kizazi changu to the next level kazi kwaoProbability of being dead is also high! ha!ha!