Fahamu umuhimu wa style zifuatazo za ufanyaji wa biashara za cryptocurrency (stock) na mikakati yake

maliselo22

Member
May 18, 2017
72
52
DAY 1.
Kwa Leo acha nianze kuelezea styli hizi za ufanyaji wa biashara kwa upande zaidi wa cryptocurrency na stock pamoja na mikakati.Japo siwezi kumaliza zote kwa Siku ya Leo.acha tuanze na hizi NNE kwanza
1.Scalping
2.Day trading
3.Swing trading
4.Positional trading
Fahamu ya kwamba kabla haujaingia sokoni ni njia IPI au zipi zitakufaa pindi uanzapo biashara hii.jambo la msingi la kuzingatia ni hilo.
Tunaanza na njia ya kwanza au styli ya kwanza

1. SCALPING
Wakati naandaa somo hili ,nimejitahd sana kutafuta kiswahili fasaha cha scalping lkn nimekosa.
Kwa maana ya kibiashara
Scalping ni ufanyaji wa biashara kwa muda mfupi ambapo huchukua dakika chache sana pindi upo sokoni .Hapa mfanya biashara hutafuta pea ambayo itachukua DKK chache tu pindi akiwepo sokon na kumletea faida .Kwa kawaida huleta point /pips/satoshi chache kama faida ,kabla ya kutoka sokoni
Hapa kumbuka tunatumia charts za muda mfupi tuuu.

MIKAKATI YA SCALPING
Fahamu kua kila manunuzi ya 100% ktk soko ya coin(bullish),mbeleni huambatana na kiasi kidogo cha 5-10% cha mauzo ktk solo(bearish).
Kwahyo wafanya biashara hutumia mwanya huu kujipatia faida kwa kutumia styli hii.Kwa kawaida asilimia 100%ya mauzo huonekana katika candle yenye ujazo wote.

OK!!!!!!!!!!!
Ngoja tuone jinsi inavyo kua.
unnamed (2).png

Hapa kwenye hii chart ya BTC/USD,unaweza kuona,candle yenye ujazo wa 100%ya manunuzi (bullish),huwa ikitokea tu mbeleni kutatokea candle ndogo ya mauuzo (bearish),kwa ujanja huu ndio utumikao ktk scalping .candle ya mauzo kwa kawaida huleta faida ya 5-10%,endapo utakua umeweka selling order kwa blocker wako.

Kwahyo unaweza kuingia kwa kutarget candle inayo karbia ujazo wa 100% ya manunuzi(bullish),kwa dhumuni la kuuza na kuchukua faida ya 5-10%katika candle ifuatayo ya mauzo(bearish candle)
Acha tuthibitishe hili katika chart ifuatayo.

unnamed.png

Umeona!!!!!???:D:D:D
Imetokea tens katika pea ileile kwa hip candle ya manunuzi ikitokea tu mbeleni Luna bearish ya asalimia tank ad kumi kama faida kwako (scalper)(day trader)

Scalping styli hii hujuisha mauzo ya muda mfupi tu.(short selling)na manunuzi ya muda mrefu(long buying)

Zingati
Hii styli ni styli ambayo hutumika katika masoko ya cryptocurrency tu.kwahiyo katika masoko mengine huenda ikakuletea mabadiliko.

Byeee:):D
usisahau kushare na kulike
by #brandpoW
#mr Crypto.(Maliselo)

comment kwa muendelezo.
 
Mmmmmh mkuu isije kuwa ni forex imekuja kwa njia nyingine ,maana bado watu wanauchungu na hela zao zilizoungua kwenye forex.
 
Hela kuungua ni moja wapo ya hasara kama biashara nyingine yoyote tu
 
SISHAULI MTU YEYOTE KUJIUNGA NA BIASHARA HII
Sabu ni kama ifuatavyo
1.hakuna uwezo Wa kufatria mwenendo Wa pesa yako.

2.ukiibiwa hakuna Wa kumdai

3.kupanda na kushuka kwa pesa hizi hakueleweki..(juzi imeshuka kama utan ndani ya 24hrs vilio tupu.

4.kuwekeza huku nikama kucheza BIKO.imagine unacheza biko ya million 5.(insanity)

5.unaweza kuwekeza sehemu nyingne bora zaid mfn biashara

6.unaikumbuka DESI!? HAHAH

N.B.mdanyabiashara maarufu Henry Ford aliwahi kusema

"Any business that make nothing but money is a poor business."

Ni kwa sababu hii nchi mbali mbali zinaendelea kuipiga marufuku hii cryptocurrency kwa sababu inapunguza uzalishaji Wa nchi...IMAGNE KILA MTU ANUNUNUE NA KUUZA PESA ..WATU HAWATALIMA WALA KUZALISHA.

Mfano Wa nchi zilizo kataza hii kitu ni.
Iceland,Vietnam,Nepal,Indonesia,Pakistan...

Kimsingi naweza sema hii kitu haina future
 
Maelezo
 
1.Maelezo yako hayana research ndani yake, Iceland ndio nchi inayongoza kwa mining firm na masternode za kutosha ,
Pakistan wame toa proporsal ya Ku lunch cryptocurrency yao wenyewe.
Indonesian ndio nchi ambayo ipo kwenye top five ktk matumiz ya cryptocurrency ikifuatiwa na Philippine

2.Hio slogan ya ford ,jarbu kuilewa vizur
3.Blockchain tech ,ndio chachu ya innoversion kwa sasa.
Ni sawa biashara hii ina risk ,lkn sio kwa mtazamo wako.
Hakikisha una elimu yakutisha na unacho kisemea.
,.
 
Biashara za siku za mwisho ni za ujanja ujanja nahis ata microchip na mark of the beast itapitia huku
 
Back
Top Bottom