Fahamu ujenzi wa SGR unavyoendelea

Ndio ujue kuna watu ni wendawazimu nchi hii, hata Magufuli alishasema mbona, ni walevi na mataahira. Ujenge Bagamoyo halafu SGR inafanya kazi gani, itabeba nini toka Dar port? Au ndio tusema pesa zote za SGR ndio zimepotea bure?

Mwingine anaeshindwa kutumia akili zake vizuri anataka tuachane na Rufiji, ina maana pesa zote tulizotumia zimepotea bure?
Wanao ona mbali bhn wameshagoma lakini hatari tup
 
Kila siku inakuaga hapo kwenye hizo asilimia 90!
Mbona ulipoambiwa reli imekamilika kwa asilimia tisini ulikaa kwa kutulia?tuliambiawa reli ya Moro itaisha 2019 Leo Ni 2021 bado tu Ni asilimia 90; hushangai
 
Back
Top Bottom